Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Riziwani kasaidia kuteua wakuu wa wilaya
Mkuu Joka Kuu, kusema ukweli hawako clear kuhusu vigezo ila wametumia fb na tweeter tuu na blogs as added advantage.Pasco,
..Regia Mtema alitakiwa awe-mentioned post humously.
..lakini Dr.Slaa naye kwa kweli tumekuwa naye hapa JF which I think has been very healthy.
NB:
..Hivi January atajinasua vipi na hili shombo na janaba ya ufisadi iliyoko ndani ya CCM?
Riziwani kasaidia kuteua wakuu wa wilaya
Kama mtu hayuko JF hastahili kabisa kuwa kwenye hiyo List. Zitto na Dr Slaa ndio wanajitokeza sana, na hakuna atayebisha ujasiri wa Zitto kushiriki mijadala hata ile inayomkosoa. Sijui huyo January Makamba anapigia wapi debe but I am view Zitto ni zaidi ya January.
Zitto nambari one!!!!!
una maanisha alimtweet ba mwanaasha ama?
Mkuu Kachanchabuseta, kuikweli mwendawazimu huwa hajijui yeye kuwa mwendawazimu bali wamuonao ndio humjua kuwa ni mwendawazimu!. Naomba huu uendawazimu uishie kwangu tuu niliyeanzisha hii thread na usiextend mpaka kwa wachangiaji.HUU NDuO WENDA WAZIMU....PASCO nina wasiwasi na upstairs ukoje this is stupid topic ever
Wewe umenasa umembea na unauleta hapa ujadili SO WHAT?? VERY STUPID
Vigezo gani vinetumika? kwanini hawaji JF??? isije kuwa mambo ya ZA MUTUZ anapost mambo ya Sijui demu huyu katoka hot, mara sex, mara mtu wangu
Where do they interact????
Ni mwanasiasa ila bado hakustahili kuingia kwenye top ten. Sio yeye tuu ambaye hastahili, hata No. 8 hakustahili kuwemo kwenye top ten!.
Usichanganye wanasiasa wa jf na wanasiasa wa ukweli. Mfano humu jf kuna vichwa hatari kwenye jukwaa la siasa ila kiukweli sio wanasiasa kabisa. Mfano ni mimi Pasco wa jf, huwa nina coment sana tuu kwenye jukwaa la siasa, lakini kiukweli mimi sio mwanasiasa kabisa, sina chama sio mshabiki, sio mfuasi na sijikombi kombi popote wala kwa yeyete!.
Malecela anaingia kwenye orodha ya mabaharia. Le mutuz la mademuz.