Jambo gani zuri ulimfanyia kwa moyo wako wote ila later on akakumwaga

kiukweli bado sijafanya cha maana kwa vile sijampata bado wa kuteka moyo wangu
 
Kumpeleka hospitali wakati amepata ajali akapangiwa sindano za masaa na hela nikatoa ya doz nzima, akawa anaenda mwisho akataka kuwa mchumba wake. Ni ushenzi sitakaa ni usahau katika maisha yangu yaani mtu ameumia nampeleka hospital halafu huyohuyo dokta anataka kumuoa daaaahh nilichukia mpaka nilikonda.
 
Malipo ni hapa hapa duniani tuu, akaona haitoshi baada ya kunilamba vijisenti vyangu mimi nikaendelea kumbana kwa maswali magumu ndo akaaona ili kunikomoa akaweka profile pic ya boya wake daaaaa tumbo lilkiwaka moto gafla nikavumilia yakaisha maana nilishajiwekea akilini atakua na mwanaume wa pembeni. nikaendelea kukaza mwisho wa siku akawa hata hapokei simu yangu na akaniweka blacklist kabisa, kwa hiyo dharau nikakata mawasiliano kabisa nikasema ata kama nimepoteza pesa sio mbaya nitatafuta nyingine na kweli kidogo nachopata kinaniridhisha

Pole sana ndugu
 
Kumpeleka hospitali wakati amepata ajali akapangiwa sindano za masaa na hela nikatoa ya doz nzima, akawa anaenda mwisho akataka kuwa mchumba wake. Ni ushenzi sitakaa ni usahau katika maisha yangu yaani mtu ameumia nampeleka hospital halafu huyohuyo dokta anataka kumuoa daaaahh nilichukia mpaka nilikonda.
Fuc***** women
 
Mimi nilikomaa usiku kucha nikampiga goli nane baadaya hapo niliugua kichwa hadi nikalazwa ili tu kumfurahisha ila mwisho wa siku akaniacha, sina hamu na mwanamke, sasa hivi napiga zangu goli moja au mbili za dakika 2 2 nimemaliza.
 
Mtendee MTU wema pasipokutegemea malipo tenda wema nenda zako usingoje shukrani Fanya km unamsaidia Mwenyezi Mungu ambae atakulipa siku iso na jina,pia mwanadamu atabiriki ubadilika kila wakati utapendwa Leo kesho huna thamani.
 
Mimi nilikomaa usiku kucha nikampiga goli nane baadaya hapo niliugua kichwa hadi nikalazwa ili tu kumfurahisha ila mwisho wa siku akaniacha, sina hamu na mwanamke, sasa hivi napiga zangu goli moja au mbili za dakika 2 2 nimemaliza.

Hahahaha hahahahahahahahaaa hehehehehheheheheheheh
Yaani wewe umenivunja mbavu usiku huu inabidi unipeleke hospital vinginevyo una la kujibu kwa Smart911 hahahahahahahahahaaa looh

Nimevuta taswira ya tukio lililokukuta napasuka mbavu Hehehehehehehehehehehehehehehehehee

Pole hata hivyo, kwani alikwambiaje hata ukajikamua mabao yote 8 hihihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii laaah kwani..... haukula vizuri kabla ya shughuli hahahahahahahahaaa hahahahahahahahaaa uuwiii mbavu zangu mie aah hahahahahahah jamani looh.

Halafu siku nyingine ukikataka kukikeshea mchana wake uwe umelala vya kutosha na msosi usiwe wa kitoto.

Hapo nahisi maumivu yalisababishwa na hangover kwa maana ulikunywa pombe halafu haukula vizuri na hukunywa majina kutosha.
Ukizingatia zoezi zima linakausha maji hasa kwa kutoka jasho, nguvu hasa kwa kusukumia ndani, na kama hukuwa umepumzika vizuri basi ndo hayo yaliyokupata.

Pole mwaya laaah ila nimecheka sanaa aaah.
 
Mimi nilikuwa nampiga demu wangu dushe la kisawasawa mpaka anaishiwa nguvu na wakati mwingine kujinyea kwa raha zake. Baada ya kuona kila nikimpa offer ya dushe na kujinyea hovyo, nimehamua kumtema kuanzia tarehe moja mwaka huu kwani shuka zangu zinaanza kuzeeka kufua kila mara.
 
Back
Top Bottom