Jambo gani zuri ulimfanyia kwa moyo wako wote ila later on akakumwaga

Nilimfanyia mengi mno kiasi kwamba sidhani kama nitaweza kumfanyia mwingine tena. Matokeo yake machungu ila niko happy na maisha.
 
Ushauri tuuuu
"Do not commit as much resources as you can't afford to lose into any relationship".
 
Law number 13: " When asking for help, appeal to people's self interest, never to their mercy or gratitude"

Wengi naona mnaumia maana wakati mnawasaidia hao wapendwa wenu kwa vitu mlivoviona vya thamani mlikuwa na mategemeo ya kutendewa vema in return.

Mngekumbuka ya kwamba kutenda mema is not a "quid-pro-quo" tenda wema uende zako na wala mtu huyo huyo akikutendea ubaya wala usijilaumu eti mbona mimi nilimtendea vema.

Mimi ntajisikia vizuri sana na wala sitawaza kabisa, kama nikimtendea mtu jambo jema ama nikijitoa kwa mtu halafu aje ani hurt kwa namna moja ama nyingine. Umetenda jambo zuri binafsi umeitendea haki character ya nafsi yako, yeye kakulipa baya na kukuumiza, hiyo character na tabia ya mtu ambayo huwezi kuifaham.

Just imagine mimi nilimuamini mtu kufanya biashara fulani ndogo ya mazao kwa kiasi kama 1.5M lakini amenijeuka ingali nilishatoa pesa zangu kabisa, sasa hapo utafanyaje? Utaumia roho mpaka lini? Ningewezaje kujua character yake kwamba angekuja kunitapeli? Kwa hiyo nibaki kuwaza forever? No

The same same to relationship... hakuna haja ya kulalamika at all
 
Back
Top Bottom