Kwa hali ya rwanda ni suala la muda tu lazima wahutu watarudi tu madarakani. Haiingii akilini eti leo kagame anajitangaza kuwa mdemokrasia? mbona hajatubu kwa makosa ya mauaji ya halaiki kule DRC?
naona jamaa wameshtuka maana wanajua akikamatwa na international court akatoa maelezo yake itakuwa soo mbaya kwao.
hiyo warrant ni kuiomba serikali ya afrika kusini iwadake kisha iwarudishe rwanda wao wamedai watawa treat kiinternational,jamaa wanahaha maana kayumba kakubali kwenda kutoa testimony zake kuhusu genocide na RPF crime,assasination of two president, i mean yuko tayari kwenda kuhojiwa spain kuhusu makosa yake maana ni mmojawapo kati ya wale maofisa tisa wa rwanda wenye international arrest warrant,na hicho ndio kinamtoa jasho kagame maana jamaa atafichua siri zote ili apewe political asylum.mkuu
wameshituka nini? maana naona wametoa hiyo warranti yakumtia nguvuni ama wame withdraw hiyo kitu.??
hiyo warrant ni kuiomba serikali ya afrika kusini iwadake kisha iwarudishe rwanda wao wamedai watawa treat kiinternational,jamaa wanahaha maana kayumba kakubali kwenda kutoa testimony zake kuhusu genocide na RPF crime,assasination of two president, i mean yuko tayari kwenda kuhojiwa spain kuhusu makosa yake maana ni mmojawapo kati ya wale maofisa tisa wa rwanda wenye international arrest warrant,na hicho ndio kinamtoa jasho kagame maana jamaa atafichua siri zote ili apewe political asylum.
Aluu
wanyarwanda wazuri huyu jamaa kama yuko hivi mke wake atakuwaje?
Huyu jamaa kwani ni mhutu. But whatever tribe he is nahisi KAYUMBA hajaridhika baada ya mapambano yote kutupwa ubalozini tena India. kavumilia kachoka anataka mabadiliko labda ataekwa position anayotaka yeye.
"Fahari wawili hawezi kukaa zizi moja".
Kwa mtazamo wangu huyu kayumba alitarajia more than kuwa Rwanda ambassodor to India. Ni hii tamaa ya cheo ndio inamfanya atake watu waone other side of kagame's face. Kagame huyu wa leo ni yule yule kayumba aliyekuwa naye msituni.
Aluu
wanyarwanda wazuri huyu jamaa kama yuko hivi mke wake atakuwaje?
Kagame alichotwambia ni kwamba alifuata Nterahamwe Congo na ninaamini hivyo mpaka leo. Iwapo aliua Wakongo wasiokuwa na hatia, unarmed, just for the sake of killing, that was very wrong. Wakongo ni jirani zetu na ndugu zetu kama walivyo wanyarwanda na warundi! Sasa je ni kweli, that you one will have to prove it before the court! Ninachojua mimi, iwe Kagame au M7 na sasa mnamsema na marehemu Savimbi kule wanafuata kuiba, lakini je kuna watu wanaiba kama watanzania, milioni 800 za TASAF zimetafunwa kwenye wilaya yangu bila kumfikia hata mlengwa mmoja! (kamfano kadogo tu). Msukumo mkubwa wa ndani Kongo (Eastern) ni kupora mali ambazo hazina ulinzi, kwani Kinshasa iko mbali mno na Kabila hawezi fanya kitu. Lakini ikumbukwe kuwa Nterahamwe in Congo was a real threat, so Kagame had to pursue them, since Kabila (both marehemu na mtoto wake) couldn't tame them given the nature of The vast Congo. Mimi imani yangu ni kuwa aliua wanajeshi Nterahamwe, ex FAR na their Hutu accomplices, na pengine wakongo waliokuwa wanasaidia adui zake ambao nao wanakuwa adui zake kwa mantiki hiyo. Lakini iwapo aliua wakongo tu, kwa vile ni wakongo hilo ni kosa kubwa. Lakini katika vita ya kisasa, naamini hakuna mpiganaji anapenda kujiongezea maadui bila sababu, hiyvo sababu ya kuua wakongo mimi hainingii akilini. Je si kwamba na yeye Kagame alikuwa na washirika wake wakongo? Iwapo aliiba mali, basi walioiba ni wengi na wakamatwe wote, akiwamo M7, na makampuni ya kimataifa yakiwemo ya Marekani, Uchina, Ulaya na kwingineko. Siyo yale ya kwetu ya kukamata fisadi wachache wakati wengine wengi mapapa wanaachwa. Hivi hizo resources za kukamata wahalifu wote wa Great Lakes region zitatoka wapi, mbona wengi na uharifu umefanyika kwa miongo mimgi sana!
wewe lazima utakuwa carnivorus!
Hicho ndo kimewaponza mumewaoa na kuwaingiza kwenye system,mbona wapo Watanzania wazuri tu wewe njoo huku kwetu Namanyere achana na watusi bwana yaani hawaachi asili tena utashangaa unamweka ndani lakini anashikishwa mimba na mtusi mwenzake na siku akitimua anakuachia vumbi.Mfano kama wewe ni Mnyakyusa mwnzangu badala watoto wakizaliwa awafundishe Kinyakyusa yeye anawafundisha Kinyarwanda ili iwe rahisi siku akitaka kuondoka nao.Yaani jamaa wako focused sana