Imeniuma sana baada ya kukuta hii meseji kwenye simu ya mpenzi wangu

Mwambie tu ukweli umejua na umshauri aache huo mchezo kwa afya yake na sidhani Kama ataweza kumake a good wife hako kamchezo ni pepo kabisa pia usiogope kumchunguza pale inapobidi ili ujue kabisa uko na mtu wa aina gani
 
Yako mengi, utayajua yote? Acha kupekenyua simu ambayo Sio yake, mengine ukiyaona Mbona utajitundika.
halafu eti shetani alinipitia we fala ulikua huna nauli mpk shetani akupitie,jibu unalo kula kiboga hicho mwisho uswage,ukinogewa baki tu kwani hakuna namna.

malengo malengo yenu ya kibwege kuja kutuchangisha michango isiyo ya lazima huku mtaani hatutaki.
 
nampenda sana mpezi wangu na kiukweli namheshimu sana mtoto kaumbika kweli kweli huwa sina utaratibu wa kushika cm yake kwa kweli sasa leo tulitoka lunch akaomba power bank yangu nimchajie bas nikamshikia na cm hakua ameweka secrt code nikiwa pale akatoka wazo likanijia sijui shetani nikakuta nafungua cm yake nikikuta kuna groups balaa kuna jina likanitia hofu kasave kibomu kufungua kwa kweli msg imeniuma baada ya kukuta anaambiwa ...wewe mtoto huo mchezo umejifunzia wapi utaniua mtoto wewe una mk........ mtam balaa niliishiwa pozi sana nikajiuliza mwenzangu kaanza lini na wakati hata dalili hajawahi nionyesha kwa kweli navyomheshimu tuu na malengo niliyopanga nae imeniuma sasa je nimwambie? au nifanyeje?

picha siyo yeye lakini

View attachment 423676
Mkuu wewe endelea kumheshimu maana huo mchezo hautaki hasira. Huyo Kibomu anaweza kuwepo humu JFs..

Hao wengi walioko behind closed doors wakina Kibomu wataenda motoni...
Ww Mkuu baki njia kuu ukishindwa na ww Ruksa....
 
Usipende saaana kujua mtu wako anafanya nini. Cku moja niligombana na mdada mmoja ofisini. Nilikuwa na recorder yangu baada ya ugomviniaitegeshea kisha nikajifanya kuondoka. Walikuwepo rafiki zake basi alisema maneno balaaa! Basi nikarudi na kuondka ili nisikie alichosema... Hakika nilijuta ckuamini na hivi hadi leo sikagui cm ya yeyote wala sitaki kujua anasema nini kama sipo.
Kwa hiyo usijipe presha binadamu ni wa ajabu
 
nampenda sana mpezi wangu na kiukweli namheshimu sana mtoto kaumbika kweli kweli huwa sina utaratibu wa kushika cm yake kwa kweli sasa leo tulitoka lunch akaomba power bank yangu nimchajie bas nikamshikia na cm hakua ameweka secrt code nikiwa pale akatoka wazo likanijia sijui shetani nikakuta nafungua cm yake nikikuta kuna groups balaa kuna jina likanitia hofu kasave kibomu kufungua kwa kweli msg imeniuma baada ya kukuta anaambiwa ...wewe mtoto huo mchezo umejifunzia wapi utaniua mtoto wewe una mk........ mtam balaa niliishiwa pozi sana nikajiuliza mwenzangu kaanza lini na wakati hata dalili hajawahi nionyesha kwa kweli navyomheshimu tuu na malengo niliyopanga nae imeniuma sasa je nimwambie? au nifanyeje?

picha siyo yeye lakini

View attachment 423676
1477335888732.jpg
 
Alietakiwa auawe na akataadhalisha yupo salama salmini Ila mvamizi wewe ndio unakufa taratibu kwa kihoro
 
Hehehehe kama unaona huwezi kuendelea naye vyema kuachana naye

Hako kamchezo kama anakafanya kweli hawezi kuacha na wewe kama sio muumini wa hako kamchez atawapata nje

Mimi ningekuwa ndio wewe ningechunguza kisha ningefanya maamuzi sahihi

Ila kwa wewe komaa naye mkuuuuu
 
Back
Top Bottom