Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Mwanamke hajadidimizwa anathaminiwa thats why sheria laws na tamaduni zao zinamlinda.

Kuruhusu mwanamke atawale na kutembea nusu uchi sio empowerment ni kumshushia thaman yake na kumdhalilisha
Unajua kua Bruney mwanamke hapigi kura mpaka leo? Hiyo ni haki kweli? Mwanamke anatakiwa kuazwa kwenye mazungumzo na sio yeye kuanza

Hijabu is a dress code to any woman plus visitors haaa ww jamaa
 
Leta ushahidi wako kama unasema kweli.
 
Number 7 ndio wamebugi kabisa sasa kuna raha gani kama mdudu hatafunwi huko bora wajikalie wenyewe.
 
Uwiano wa 1:209 ni mkubwa kivipi?

Uwiano mkubwa ni 1:1

Halafu, namba 8 "nchi pekee iliyopo northern and southern hemisphere" unaelewa umeandika nini? Ushawahi kutazama ramani ya dunia?
 
Unajua kua Bruney mwanamke hapigi kura mpaka leo? Hiyo ni haki kweli? Mwanamke anatakiwa kuazwa kwenye mazungumzo na sio yeye kuanza

Hijabu is a dress code to any woman plus visitors haaa ww jamaa
tena ukishikwa na demu wanapiga mawe, ukipiga hela wanakata kichwa jamani nchi zingine sio za kwenda kichwa kichwa.
 
Uwiano wa 1:209 ni mkubwa kivipi?

Uwiano mkubwa ni 1:1

Halafu, namba 8 "nchi pekee iliyopo northern and southern hemisphere" unaelewa umeandika nini? Ushawahi kutazama ramani ya dunia?
Typographical error mkuu

Hiyo ya hemisphere sijaielewa hata mm ndio mana nimecite source boss!
 
Back
Top Bottom