Utamaduni
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 1,279
- 597
Kwa jinsi nilivyokusoma muanzisha mada hii, ni kwamba hauna tatizo lolote lile la kiafya ambalo linakutaka wewe kuitoa mimba hiyo ili kuokoa maisha yako.
Maana ninajua kama mimba yako ingekuwa na tatizo linalolazimisha kuitoa, Dr. angekuwa wa kwanza kukuambia inabidi aitoe hiyo mimba na angeitoa kabla hata hujafika hapa JF na kuomba ushauri. Ninachokiona kwako ni kwamba unataka KUUA.
At the moment mbegu ya baba inapokutana na yai la mama na kujifunga, inaanzisha uhai mpya, ambao tunaiita ni mimba. huu ni uhai, na kuutoa ni dhambi kwa Mungu alietuagiza tuisue na serikali pia inayokataza katika sheria zake kuua.
I beg you in the name of the Lord, usitoe Mimba, haujui tu ni raha kiasi gani kuwa na mtoto, Hebu jaribu kumzaa huyo uonje utamu wa mtoto, na baada ya hapo toa hicho kizazi chako ili usipate tena mimba itakayokutia majaribuni ya kumkosa Mungu wako.
Mungu akusaidie na kukusamehe.