Katuni: Hawa ndio wanaomhujumu Rais Magufuli

mitindo huru

JF-Expert Member
Apr 26, 2016
1,607
1,596
1462022666314.jpg

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
 
Kabla yakuja kumwaga povu ungejiongeza...Hiyo katuni inasema ukweli au uongo
Unatakiwa uwe unashirikisha na akili yako unapojibu hoja.
Unajua kuwa DW ni idhaa ya kiswahili ya habari kutoka ujerumani unajua ni nchi ngapi zinafatilia habar zao. Uoni kama huu ni udhalilishaji hata kwa watanzania wenyewe.
Unatakiwa uache kuleta ujuaji kujaribu kutetea vitu vinavyodhalilisha nchi.
Raisi Magufuli anawakilisha nchi ya Tanzania na sijaona kama baya alilofanya hadi wamchore hio katuni kiasi hicho.
nonesense. kwanza hiyo sheria juzi juzi hapa imetukoshesha trillioni 1 za bure
 
Unatakiwa uwe unashirikisha na akili yako unapojibu hoja.
Unajua kuwa DW ni idhaa ya kiswahili ya habari kutoka ujerumani unajua ni nchi ngapi zinafatilia habar zao. Uoni kama huu ni udhalilishaji hata kwa watanzania wenyewe.
Unatakiwa uache kuleta ujuaji kujaribu kutetea vitu vinavyodhalilisha nchi.
Raisi Magufuli anawakilisha nchi ya Tanzania na sijaona kama baya alilofanya hadi wamchore hio katuni kiasi hicho.

kama hujaona wewe wenzako wameona. binadam wanatofautiana!
 
Unatakiwa uwe unashirikisha na akili yako unapojibu hoja.
Unajua kuwa DW ni idhaa ya kiswahili ya habari kutoka ujerumani unajua ni nchi ngapi zinafatilia habar zao. Uoni kama huu ni udhalilishaji hata kwa watanzania wenyewe.
Unatakiwa uache kuleta ujuaji kujaribu kutetea vitu vinavyodhalilisha nchi.
Raisi Magufuli anawakilisha nchi ya Tanzania na sijaona kama baya alilofanya hadi wamchore hio katuni kiasi hicho.
Ili usidhalilishwe uache kufanya vitendo vitakavyofanya udhalililike usidhani Uzalendo kutetea kila kitu kama kipindi kile cha upuuzi wa uchaguz wa znz watu wanatoa mapovu kuwalaumu Jamaa wanaosaidia Bajeti zao wanashindwa kuwaambia watawala kwamba wao ndio tatizo! sasa naona nawee unapita mlemle nakushauri Uzalendo nikusimamia ukweli
 
Unatakiwa uwe unashirikisha na akili yako unapojibu hoja.
Unajua kuwa DW ni idhaa ya kiswahili ya habari kutoka ujerumani unajua ni nchi ngapi zinafatilia habar zao. Uoni kama huu ni udhalilishaji hata kwa watanzania wenyewe.
Unatakiwa uache kuleta ujuaji kujaribu kutetea vitu vinavyodhalilisha nchi.
Raisi Magufuli anawakilisha nchi ya Tanzania na sijaona kama baya alilofanya hadi wamchore hio katuni kiasi hicho.
unatia aibu! kwa hiyo hapo umeshirikisha akili zako eh?
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Acha sweeping statement! Jisemee wewe siyo sisi! Wengine wana hulka ya kuhoji mambo sio kupokea kama dodoki
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Huru, watu sio madodoki kama wewe, dodoki ukiliweka kwenye maji litafyonza tu ! watu wanahoji, wewe huoni kasoro yoyote ya mkubwa, wenzio wanaona. Wape haki yao kutofautiana na wewe. Mapenzi yako kwa CCM sio kwa wote! Wengine hawana Ndioooooooooooooooooooooooooo
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Mkuu DW siku zote wana mambo ya kijinga sana kwa kuagizwa na nchi yao kuleta uchochezi nchi mbalimbali,lauini hawawezi kwa propaganda za kitoto wanazofanya. Watanzania ndo tunauelewa ukweli wa viongozi wetu na utendaji kazi wao. Salma baada ya kujiteka akishirikiana na wanaharakati wenzake movie yao ilionekana kuwa na mashiko na hatimaye ikafa kifo cha panya alokula sumu. Haya yote ni kwa kuwa Mungu yu pamoja na Taifa hili.
 
nashangaa hivi ni kwa nini watanzania wana get emotional au kutokwa na povu, Magufuli akikosolewa? yaani watu wamekuwa na mihemko ya ajabu sana, kitu kama hiki mtu anakuja kulalamika rais anahujumiwa? anahujumiwa kwa kuchorwa katuni? Magufuli yupo perfect? Magufuli amefanya maamuzi mangapi yenye mapungufu, tangia alipokuwa rais (achilia mbali alipokuwa waziri) sasa amechorwa katuni unakuja kulalamika hivi?

huyu nae anamhujumu??
13102770_1050987328294507_4159556746248088152_n.jpg

1914486_10153998367259339_7421105697833280630_n-jpg.329925

hapa jf mtu ukimkosoa magufuli unashangaa unaanza kujibiwa na ishu za lowassa, dah huu ni upunguani kweli, kila anayemkosoa magufuli ni wa lowassa siku hizi
tumia kichwa kufikiri sio moyo
 
Aliuza nyumba bei poa
Zipi hizo? Kama ni zile za wakati akiwa waziri, basi majibu mazuri anayo kamanda sumaye. Yale yalikuwa ni makubaliano ya mwenyekiti wa baraza la mawaziri yaani rais na baraza la mawaziri, kwa maelezo ya Sumaye. Nakuwekea link, kuna uzi jamaa kaweka clip ya maelezo ya sumaye humu jf.

Kuna Clip ktk page ya uzi huu hapo chini, bofya umsikie kamanda sumaye.

UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
 
View attachment 343829

Idhaa ya habar ya ujerumani DW imepost hii katuni ya Rais wetu John Pombe Magufuli kama nae anajipu kichwani.

Watanzania tunatakiwa tuungane kwa nguvu ili kupinga hizi hujuma zinazofanywa na watu tofauti kama hawa wanazofanya kwa Rais wetu ambae ameonesha nia ya kulikomboa hili taifa lililoharibiwa vibaya na wahuni.

Inasemekana na inasikitisha kusikia aliechora hii katuni ni mtanzania anaeitwa Gado aliyefukuzwa kazi Nation Media ya Kenya ndio anaetumiwa na vyombo vya magharibi kama DW ya ujerumani.

Na ikumbukwe kuwa ujerumani alikuwa anaunga mkono upinzani kwenye uchaguzi wa 2015.

Naomba watanzania tuungane pamoja kupinga vitu kama hivi vinavyomdhalilisha Rais wetu alieonesha nia ya kuwasaidia nchi yake.

Naomba TCRA mchunguze mambo kama haya na muangalie Sheria za Uhuru wa mitandao zinasemaje kwenye mambo kama haya ili wahusika wawajibishwe kwa hujuma na matusi kama haya kwa Watanzania.
Nani aliyekwambia huyo ni Magufuli?
 
Back
Top Bottom