Hali ya Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema mashakani baada ya kugoma kula tangu akamatwe

siasa za tanzania hasa upinzani ni sawa na Bongo Movie! Janja yenu ni media za hapa nyumbani ndio maana CNN, Fox, nk hawatii mguu huku maana yupi anasema ukweli na yupi anasema uongo hafahamiki.
 
Tatizo sio kutopewa dhamana Bali 'kuzalilishwa'
Read on between the line
 
Mateso yana mwisho.
yaani kula akatae kula mwenyewe unasema ameteswa??kama ana malalamiko si ana mwanasheria alishindwa kumtumia mwanasheria wake kupeleka malalamiko mahakamani,tena mtu mwenyewe ni mbunge mtungaji sheria lakini yeye ndo anashindwa kufuata sheria halafu mnasema anateswa??unajua kuteswa wewe??
 
Habari zilizotufikia Dawati letu la habari kutokea jijini Arusha.

Zinasema Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless J. Lema Hali yake ya Afya siyo nzuri baada ya kugoma kula chakula tokea akamatwe jana alfajiri. Hayo yanatokea yeye anapopinga kukamatwa kwani anasema amedhalilishwa na si haki kukamatwa na kwanini polisi hawataki kumpa dhamani ilihali ni haki yake.

Tunaendelea kufwatilia tutawajuza kinachoendelea

View attachment 388733

Pengine amefunga....
 
Tatizo sio kutopewa dhamana Bali 'kuzalilishwa'
Read on between the line
Mbona alishazoea kudhalilishwa leo anakujaje na stori ya kugoma kula? Si alishakiwa na mshirika kule rumande majuzijuzi! Ye ale tu bana, tumuone mtaani Sept 1, ha ha ha ha, hii inanikumbusha wimbo wa M.V mapenzi no ll.
 
Back
Top Bottom