tartoo
Senior Member
- Jul 2, 2010
- 129
- 2
Hivi kuna fungu lolote limetengwa kwenye budget iliyopitishwa hivi karibuni kwa ajili ya hizo fly overs? Kama haipo hizo hela watazitoa wapi?
Halafu watu wanapiga makofi meno yote nje...!!!
Ama kweli SIKIO LA KUFA......
Majuha wengi tu!Wakiwa kwenye uniform ya kijani akili zote zinakuwa za watoto.Wewe waambie tu chochote makofi na vigelegele utapata tu!