Hata mimi naamini hivyo.Barca italitetea taji la UEFA
Huu moto sioni wa kuuzima japo Chelsea ndo huwa wanatusumbuaHata mimi naamini hivyo.
Zamani timu pinzani zilikuwa zinapenda sana kuiwekea bus Barcelona, siku hizi wanaogopa kufanya huo mchezo. Hata Chelsea haiwezi kuthubutu kuweka bus kama zamani dhidi ya Barcelona. Hii ndoo itarudi tena Camp Nou, labda itokee tu bahati mbaya.Huu moto sioni wa kuuzima japo Chelsea ndo huwa wanatusumbua
The demolition team,MSN will be at work in 40 minutes time-all the bestZamani timu pinzani zilikuwa zinapenda sana kuiwekea bus Barcelona, siku hizi wanaogopa kufanya huo mchezo. Hata Chelsea haiwezi kuthubutu kuweka bus kama zamani dhidi ya Barcelona. Hii ndoo itarudi tena Camp Nou, labda itokee tu bahati mbaya.