Fahamu kuhusu soko la bidhaa yako

Godfrey Sway

Member
Apr 13, 2018
37
34
Hapa Ndio Sehemu Pekee Ambapo Unapaswa Kupitia Kabla Hujaanza Kilimo Au Uzalishaji. Kwa Wakulima wa mazao pamoja na wafugaji unapaswa kufahamu kile unachotaka kuzalisha kwaajili ya biashara Yako utakiuza wapi?

Jibu ni moja tu. SOKONI.
Ili kupata taswira halisi na uelekeo wa mazao unayozalisha, Anza kufanya utafiti mwenyewe kabla ya kushauriwa na Mtaalamu wako. Mfano Mkulima wa Parachichi, Embe, Chungwa, Ndimu, Limao pamoja na Mboga Mboga kabla ya Kuingia shambani, Pitia masoko yaliyopo Mtaani kwako pamoja na maeneo unayotegemea kuuza mazao yako.

Ulizia Bei, aina ya zao linalotakiwa zaidi, Saizi inayotakiwa zaidi, ujazo unaotakiwa zaidi, kama inawezekana pata mawasiliano ya wanunuzi au wauzaji kwaajili ya kupata Taarifa za soko zaidi. Hii hautaambiwa sehemu nyingine yoyote zaidi ya hapa kwetu.

Baada ya Kupata Taarifa za sokoni, Njoo ujipatie Miche Bora Zaidi ya Matunda Muda Mfupi kwa Bei Ile Ile ya Tsh 2500 Tu. Wataalamu wetu watakupa Elimu yote juu ya Kilimo pamoja na Ushauri wa masoko.

Tupo SUA Morogoro.
Tupigie Leo.
Mr. Sway: 0752799673

Glory Farm: 0746850361View attachment 2860298View attachment 2860300View attachment 2860299View attachment 2860296View attachment 2860297View attachment 2860301View attachment 2860302View attachment 2860303
IMG-20231130-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom