Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,221
Habari wana JamiiForums,
Hapa ninaamini nitapata mawazo mazuri watakayoniongoza vizuri. Mimi ni mwanaume, Ninahitaji advice zenu ndugu zangu. Nadhani mnafahamu dread hair style. Ni staili ambayo mimi ninaipenda sana na ninatamani niwe nayo lakini hivi sasa nina nywele ndefu kidogo, ninafikiria nizifanye dreads but napenda dreads original or natural dreadlocks kama za marley but sio hivi vyembamba vya kujisokota kama za chege (zinazokuwa nyembamba sana). Mimi ninategemea kuanza chuo mwaka huu kuchukua degree.
Sikupenda kuwa na dreads shule coz hairuhusiwi but chuoni ninaamini ninaweza kuwa nazo. Tatizo ni kuwa...jamii au hapa kwetu Tanzania rasta zinaonekana kama za wavuta bangi na wauni! Kitu ambacho sio kweli.
Wasiwasi wangu ninaogopa kukosa kazi nikimaliza chuo kwani nimefuatilia ninasikia serikalini hairuhusiwi. Hii si haki kwani dreads ni asili ya mwafrika na tungekuza utamaduni wetu. Tena kihistoria wamasai ndio kabila duniani linalofahamika kwa kuwa na dreads toka zamani sema zilikuwa nyembamba, hii ni sehemu ya utamaduni wa kiafrika.
Nasikitika kuwa wenye rasta hawakai maofisini wapo katika sanaa sana. Lakini mf Alan Lucky wa chanel five anazo za kistaarab na bado anaonekana mtanashati. Nahitaji ushauri, je nifuge or niache? And nikifuga nitasumbuliwa katika jamii inayonizunguka or they'll consider it kama style tu na sio uhuni?