Msaada: Anatokwa na ute wa njano sehemu za uume wake

Robert edo

Member
Mar 9, 2015
44
5
Anatokwa na ute wenye rangi kama njano hivi kwenye uume na ute huo hauna tofauti na shahawa.

Na hutoka kidogo kidogo Mara kwa mara na wakati wa kukojoa huambatana muwasho na maumivu kiasi.

Tatizo litakuwa ni nini.

Msaada Tafadhali.
 
Anatokwa na ute wenye rangi kama njano hivi kwenye uume na ute huo hauna tofauti na shahawa na hutoka kidogo kidogo Mara kwa mara na wakati wa kukojoa huambatana muwasho na maumivu kiasi tatizo litakuwa ni nn.msaada Tafadhali.
Nenda kapime hospitali huenda una maradhi ya zinaa
 
Nenda kapime hospitali huenda una maradhi ya zinaa


Mzizi mkavu jitambulishe wazi wazi tukutumie shida zetu,je wewe ni medical practitioner?ofisi zako ziko wapi ili tulete shida zetu?nakukubali sana.
 
Mwambie Aende Hospital Mapema Sanaa Huo ni Ugonjwa Wa zinaa hasa Hasa Gonorrhea But Akafanye Vipimo kwanza na Ampeleke na Partner wake
 
YEYE NA MWENZA WAKE WAENDE WAKAANGALIE MARADHI YA ZINAA
 
Pole sana kijana kwa kulikwaa gono,

Wahi hospital kupata vipimo na matibabu,

Next time kumbuka kutumia kondomu!!
 
Back
Top Bottom