Choo nadhani inawakilisha ile line ya kujiexpress ya tiGo
Choo nadhani inawakilisha ile line ya kujiexpress ya tiGo
umemiss BAN Rev? mbona habari za biashara unaleta kwenye forum hii? lol
Jumapili hii utahubiri mchungaji?Choo nadhani inawakilisha ile line ya kujiexpress ya tiGo
Cha kuinama kinaweza kikawa bora kwangu
Jumapili hii utahubiri mchungaji?
Choo
Hivi ni choo gani bora kati ya vile vya kukaa na kuchuchumaa?
Binafsi naona vya kuchuchumaa ni bora na kiasi fulani ni hygenic hasa kwa mazingira ya sehemu za jamii kama mashule,vyuo,ofisi na hata familia zenye watu wengi.
je kuna sababu yeyote ya watu kupendezewa zaidi kuweka vyoo vya kukaa?
Nawasilisha kwa mjadala.
Duh! Nimecheka, basi tu! Hongera kwa ufafanuzi mkuu. Loh!Inategemea unataka kuteremsha mzigo wa aina gani. Vimimina au yabisi? Kama ni yabisi mfano mihogo ya kuchemshwa bila nazi, maboga ya kuchoma, na viazi vikuu vilivyosindikizwa na asali, chipsi dume bila chachandu wala kilimanjaro/dasani, ITAKUBIDI utumie choo cha AWILO aka kata muwa (mchuchumao) huku ukiwa umeshikiria ukuta na kusaga meno ili kukusanya nguvu na kuhimili maumivu. Kama mzigo wako ni vimiminika mfano uji wa bamia, kitimoto kilichoiva nusu, mbege na wanzuki uliochakachuliwa na ulanzi, viepe yai vlivyokaangwa kwa mafuta ya transforma na kufungiwa kwenye front page ya Kubenea, ITAKUBIDI utumie choo cha HIGH SPEED aka kong'oli aka cha kukaa
Nafikiri mngetufafanunulia zaidi- 1. Cha kukaa cha shimo au cha kuflash? 2. Cha kuchuchuma cha shimo au cha kuflash. Kule kwetu kijijini vilivyo common zaid ni hivi vya kuchucumaa vya shimo ambavyo huwa na usumbufu wake kidogo, ukikuta kimejaa inabidi uwe fundi wa kupiga skwati yaani kuchuchumaa na kuinuka pindi unapoachia mzigo maana kuna uwezekano mkubwa wa maji kukurukia looool nakumbuka mbali sana jamani.
museme na age zenu wengine miaka tuliyo kuwa wadogo hizo pot hazipo hapa bongo ,mpango mzima ni kama hivi panachimbwa-unashusha zege -panafukiwa habari kwisha!mbona ulivyokuwa mdogo ulikuwa unajisaidia kwenye pot ... sasa umekua unajifanya mjanja
Poti inatumiwa na mtu mmoja, au wewe una~share pot na mwanao? Elewa swali.mbona ulivyokuwa mdogo ulikuwa unajisaidia kwenye pot ... sasa umekua unajifanya mjanja
Hakuna kitu sikipendi kama Choo cha kukaa..NI vema kitumike kwa Mke na Mume.UKIANZA KUNYA MAJI YANAKURUKIA MATAKONI bila ridhaa Yako