Wananchi na Chadema na Wote Wapenda Taifa letu. Wananchi tunataka Vita vya Rushwa Vianzie Hapa, Dowans
Swala lipo Mahakamani na Sio mwisho? Tukumbuke Mahakama Imeteuliwa na JK. Tunaweza kujadili Bungeni na lazima tufanye hivyo. Maswali mengi ya kuuliza Nani Alisababisha Yote Haya? For your Information Kikwete na Pinda, Yafuatayo Sio Maswala ya Sheria ni Maswala ya Bunge:
i. Aliesaini huu mkataba ni Nani? Wote walio husika na kusaini hii mikataba wa Tanesco na Dowans ni Wakina Nani?
ii. Ripoti ya Bunge kuhusu Richmond Wananchi Tunataka Itolewe na Maamuzi Yote, Makosa Yapi Yalifanyika na Hatua Gani Ilichukuliwa? Details Please
iii. Kwanini Lowasa Alijiuzuru?
iv. Alieamua Kwenda ICC ni Nani? Kwanini Serikali Haikwenda Mahakamani kujadili the validity of the Contract Between Tanesco na Dowans/Richmond? Mwanasheria wa Serikali? Mwanasheria wa Tanesco? na Kwanini kwenye kosa kama hili? Wahusika wote wasijulikane (tunataka thread nzima kuanzia mkataba na bid process na hasa contacts zote za wahusika...)
v. Msajadili wa Leseni za Makampuni Yanayofanya Biashara na Serikali ya Tanzania Lazima aonyeshe Trail Zote kwa Wananchi Kuhusu Dowans na Makampuni Yote Yanayofanya Kazi na Serikali Yetu .Wahusika wa Makampuni Lazima Wawe Public? Kwanini Imechukua Miaka Kuonyesha Nani Mmiliki wa Dowans Wakati Richmond Ilisha julikana ni Fake?
Kila Nchi duniani wanatunza records na kufuatilia uvunjaji wa sheria kwanini Tanzania there is no such thing? Wanamprotect Nani? CCM sio chama cha wananchi...
U.S. Senate: Legislation & Records Home > Lobbying Disclosure > Office of Public Records Information