Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

Nafikiri Chuma HATAKIWI kumwomba radhi Masatu isipokuwa ni wa wakati wa Masatu kujihoji kuwa ni kwa nini baadhi ya wana JF wamemwona hana mvuto tena hadi issue zake watake zipitie kwa wengine.
Hili ni anguko.Ukistaajabu anguko la Lowassa utaona la nanihii.
Hahahahahhaha

Nani kakuambia kuwa JF ni Beauty contest? wewe una mvuto gani? watu wengine bwana....
 
Bunge limesitishwa hadi saa kumi na moja jioni. Ni lazima Jk alete Jina la PM. I hope he will make a more prudent choice than what he did 2 years ago. He made obvious mistake bringing into power some characters like Lowasa who were already cursed by the late Mwalimu. Lol
 
Vijana washashindwa kazi, JK mwenyewe kazi imemshinda ila katiba inambeba mpaka 2010. Mimi naona wampe Mzee Malecela labda atalekebisha hali. Tunakopelekwa sasa hivi na JK kama ataendelea nafikiri ni shimoni...........
 
Patience pays we will wait till jioni tujue nini kitatokea i dont think sisi ni waganga, wakujua JK anafikiria nini. lakini i must admit what happened yesterday and the day before was an historical event to be witnessed, but also kuna element za unafiki katika wabunge wetu. yani siku zote walikuwa wapi jana naona watu wengi walitaka kuchukua ujiko mbele ya TV kuwaponda akina EL and company maana hawapo tena madarakani.

from my perspective i think Dr Harrison Mwakiembe is the hero here.
 
WATU WANAMTAKA Pinda,

Kimtazamo anafaa,ila tabia ya kutembea na mabinti na wake za watu inanipa shaka na utendaji wake,Umakini wake uanweza ukapungua katika masuala muhimu yanayohusu nchi.

Jina pekee ambalo nalipendekeza kwa mtukupewa Uwaziri Mkuu ni George Mkuchika
 
is hard kwa Jk kumwamini Mkwakyembe.He is on the other side of the bench.

i know who is the PM,i will let you know 10 min. before speaker hajatangaza.
 
Kiutendaji nafikiri Pombe anafaa sana. ila sijui kama ana vision. Otherwise, kama JK akichagua jamaa ambaye hana vision then plus yeye mwenyewe atakuwa hajafanya kitu. He really need to do his homework before. Asije akarudia makosa.
 
WATU WANAMTAKA Pinda,

Kimtazamo anafaa,ila tabia ya kutembea na mabinti na wake za watu inanipa shaka na utendaji wake.
Gembe sasa unataka atembee na nani, unajua hao wengine wanachofanya au walichofanya? Men has to do what he has to, cha muhimu asiwe fisadi na asitende kazi vizuri!
 
WATU WANAMTAKA Pinda,

Kimtazamo anafaa,ila tabia ya kutembea na mabinti na wake za watu inanipa shaka na utendaji wake,Umakini wake uanweza ukapungua katika masuala muhimu yanayohusu nchi.

Jina pekee ambalo nalipendekeza kwa mtukupewa Uwaziri Mkuu ni George Mkuchika
Nyie watu hahaha
 
Haiwezekani! Nitandaa maandamano kupinga uteuzi wake!. huyu tayari kachafuliwa na kuachwa peupe na ripoti ya kamati teule, iweje tule matapishi?



Na ni mwalimu huyu huyu aliyesema kwamba Lowassa hakuwa msafi mwaka 1995! Iweje ninyi mumuone msafi miaka kumi baadaye? Sasa ndio tunaamini kauli za hayati mwalimu sio?



Ni kweli kwamba JF tuko huru "Kusema lolote", lakini hapa nimetoka kapa kabisa! Mkuu naomba unifafanilie hicho Kigagagigikoko, nimeachwa nje ya mada kabisa, sijaelewa ulichochangia katika kuendeleza mada hii, huenda kuna pointi ya muhimu sana hapo. Kama kuna mwingine kaelewa naomba anieleweshe!
Leonwawexa sema
 
Back
Top Bottom