Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ndugu zangu Watanzania,

Kama kawaida ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni mtu wa kuteka hadhira, ni mtu wa kuteka mijadala, ni mtu wa kuondoka na point tatu na magoli ya kutosha,ni mtu anayeijuwa siasa,ni mtu msema kweli, jasiri,imara, hodari, madhubuti, shupavu na mwenye misimamo yake na ya aina yake.

popote alipo ni lazima pafahamike na kuvuma kama upepo wa baharini, ni Mwamba kwelikweli, ni field Marshall ambaye akianza kuzungumza unaona hata sisiminzi wanatulia kusubiri amalize kuzungumza ndio waendelee na shughuli zao.kiukweli huyu Mwamba ni jasiri sijapata kuona. Ni jasiri mpaka shetani mwenyewe anamuogopa.

Leo katika kutoa kwake neno amemmwagia sifa kemkemu Askofu mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es salaam Kardinali Pengo kwa kusema kuwa amesimama naye wakati akiwa na cheo na wakati akiwa hana cheo.

Akaendelea kusema kuwa anafurahi tena kumuona akikanyaga katika ardhi aliyopewa na Mheshimiwa Rais kuiongoza na ni bahati ya kimungu , na kwamba ni mwisho kuzaliwa kwa mapooza na kwamba ardhi haitazaa tena mapooza.

Mnafikiri alimaanisha nini Mwamba kwa kauli hii ndugu zangu. Mnauonaje ujasiri wa Mwamba awapo jukwaani na Maiki Mdomoni pake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Pia, soma=> Rais Samia akiashiriki Misa Maalumu ya miaka 40 ya kumbukizi ya Kifo cha Hayati Sokoine
Halafu takataka kama wewe unakuja hapa kuharisha kwamba huyo kiboga mwenzako anaweza badilisha mambo
Give me a break !
 
Yaani nikiangalia hii nchi ilivyo ya backward , impoverished na ya kishenzi
Natamani ningekuwa na uwezo wa kuteketeza takataka zote zenye mentality ya uccm
Ccm ni kansa kwa hili taifa , ccm ndio ilitengeneza mfumo mbovu wa uongozi na culture ukosefu wa maadili katika uongozi na kutowajibika ,rushwa , sera za kishenzi za kiuchumi zinazokuza umasikini , njaa ,ujinga na maradhi katika hii nchi .
Nchi kubwa kama Tanzania ila imejaa ujinga , Upumbavu ,maradhi ,njaa ,umasikini na ukosefu mkubwa wa maadili katika akili za watu wake
Kunywa maji utulize akili yako kwanza.
 
I have never heard such a fucken utterance from such a stupid politician. Yeye anajiona yupo ikulu. Kuteuliwa tu kuwa mkuu wa mkoa anakuwa na mbwembwe hizi, siku akiteuli2a kuwa Naibu Waziri mbona atajinyea!
anajionaga kiongozi kila sehemu... nakumbuka alijipaga cheo cha kiongozi wa wakuu wa mikoa🤣🤣🤣
 
😃😃😃😃Usijali nitakutumia bila shida pamoja na mchele uliokobolewa na kutoka vizuri bila kukatika katika.nitakutumia pia na maparachichi ambayo hayajaiva sana kusudi yasifike yameharibika. Lakini pia nitakuwekea na karanga ndani yake ambapo hata kama hulagi unaweza kuwapa hata majirani zako.
Nitafurahi sanaa machozi yatanitoka kama nimefungiwa kwenye chumba kilichopigwa mabomu ya machozi.😂
 
Nitafurahi sanaa machozi yatanitoka kama nimefungiwa kwenye chumba kilichopigwa mabomu ya machozi.😂
Pia nilikuwa nimesahau kuwa nitakutumia na mafuta mazurii ya Alizeti hata kidogo tu. nitakutumia kupitia mabasi ya Newforce au Abood.kazi yako itakuwa ni kuvumilia muda yanayofika huko Dar na kupokea tu stendi ,maana gharama zote za usafiri nitalipa Mwenyewe.
 
Friends and our Enemies...

Nahapa ninamnukuu Askofu Gwajima.

''Siyo kwamba Makonda/Bashite hafai kwenye kila kitu la hasha, Makonda au Bashite ana vitu vizuri, ana ule uthubutu au udiriki ambao ni jambo zuri.

Lakini hajawa mature enough kuweza kusimamia mambo ya utawala, kama Mkuu wa Mkoa, kwahiyo nakuomba Tena Kwa heshima Mh Rais, nakuomba Mh Rais huyu ndugu yetu muhamishie kwenye mahala pengine,siyo kwenye mambo ya utawala kama haya,kwenye nafasi hiyo.

Mambo ya utawala yanaweza kumfanya atuchafue na akuchafue wewe mbele ya macho ya wananchi,na ukiendelea kumuacha ipo siku atafanya jambo Bashite huyu,utatoka Moshi watu wote tutashindwa kufungua macho.

Sasa inawezekana tukawa tumeongea mambo mengi sana, Leo Mimi Nampa HUKUMU SASA

View: https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=_io5j1AmWJ4SbD3x
 
Pia nilikuwa nimesahau kuwa nitakutumia na mafuta mazurii ya Alizeti hata kidogo tu. nitakutumia kupitia mabasi ya Newforce au Abood.kazi yako itakuwa ni kuvumilia muda yanayofika huko Dar na kupokea tu stendi ,maana gharama zote za usafiri nitalipa Mwenyewe.
Umeupiga mwingiii sana, Mungu akubariki sana
Ila utumie Abood huyo New Force achana nae ni kichaa
 
Lucas,unatia kinyaa sana na sijui una ushemeji na Mods wa JF wanakuacha uposti Uharo wote hapa bila kuunganisha na Uharo wako wa Asubuhi ya leo 😤😡
 
Umeupiga mwingiii sana, Mungu akubariki sana
Ila utumie Abood huyo New Force achana nae ni kichaa
FB_IMG_17129299222484520.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama kawaida ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni mtu wa kuteka hadhira, ni mtu wa kuteka mijadala, ni mtu wa kuondoka na point tatu na magoli ya kutosha,ni mtu anayeijuwa siasa,ni mtu msema kweli, jasiri,imara, hodari, madhubuti, shupavu na mwenye misimamo yake na ya aina yake.

popote alipo ni lazima pafahamike na kuvuma kama upepo wa baharini, ni Mwamba kwelikweli, ni field Marshall ambaye akianza kuzungumza unaona hata sisiminzi wanatulia kusubiri amalize kuzungumza ndio waendelee na shughuli zao.kiukweli huyu Mwamba ni jasiri sijapata kuona. Ni jasiri mpaka shetani mwenyewe anamuogopa.

Leo katika kutoa kwake neno amemmwagia sifa kemkemu Askofu mkuu mstaafu wa jimbo kuu la Dar es salaam Kardinali Pengo kwa kusema kuwa amesimama naye wakati akiwa na cheo na wakati akiwa hana cheo.

Akaendelea kusema kuwa anafurahi tena kumuona akikanyaga katika ardhi aliyopewa na Mheshimiwa Rais kuiongoza na ni bahati ya kimungu , na kwamba ni mwisho kuzaliwa kwa mapooza na kwamba ardhi haitazaa tena mapooza.

Mnafikiri alimaanisha nini Mwamba kwa kauli hii ndugu zangu. Mnauonaje ujasiri wa Mwamba awapo jukwaani na Maiki Mdomoni pake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Pia, soma=> Rais Samia akiashiriki Misa Maalumu ya miaka 40 ya kumbukizi ya Kifo cha Hayati Sokoine
Gambo ajiuzulu.
Makonda amemuaibisha Gambo ambaye amekuwa mbunge kwa muda mrefu na kushindwa hata kuweka lami barabara za jiji huku kila siku akilumbana na MACHAWA wa MONABAN wanae gombea naye jimbo.
 
Back
Top Bottom