Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,334
- 7,868
Moderator kachemka sana sio tu kwenye hilo unalosema, kwanza alikuwa biased kuanzia kwenye maswali hadi time limit ya kujibu maswali.Mwongoza mdahalo kuna mda akachemka sana ni kama trump alikuwa anadictate mdahalo uweje...moderator alishindwa kumdhibit trump
Clinton ni mara nyingi ameongea zaidi ya dakika 2 bila moderator kumzuia mpaka anamaliza kabisa tofauti na pale Trump alivyokuwa akiongea ambae alijitahidi kuwa ndani ya time frame.
Na Trump alivyokuwa akimu attack Clinton moderator alimpa Clinton nafasi ya kujitetea na hakuonekana kulijari sana hili kwa upande wa Trump kitu ambacho kilimsababisha Trump kuwa na interruptions za mara kwa mara kwa Hillary.
Na kuhusu tax moderator alilipa muda mwingi sana swala la Tax return kuliko hata tax cut kitu ambacho kilikuwa ni salaha kwa Clinton na mpaka akajisahau kusema atafanya nini kuhusu kodi hili kurejesha ajira zilizopotea wakati huo Trump alikuwa ameshasema atapuguza kodi kwa 25% kutoka 35% mpaka 15% kwa makampuni ya kibiashara.