Lameck Airo: Nguvu ya soda ya Rais Magufuli ni ya muda mfupi

Status
Not open for further replies.

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Mbunge wa Rorya ambaye alikuwa team Lowassa ndani ya CCM Lameck Airo anadai nguvu Ya Soda inayotingisha. Nchi sasa hivi ni ya muda mfupi, kwani ni gesi tu.

Anadai Magufuli anakivuruga chama, na punde wenye chama waliomuweka madarakani watamtuliza, kwani hatekelezi imani za chama Bali ilani za upinzani.

Sijui tafsiri ya Lameck Airo, ila nadhani anahofia rungu litamwangukia, kwani kaligeuza Halmashauri kama mali yake binafsi.

Miradi yote jimboni Rorya ni yake na rafiki zake, Ochele Obutu na Samwel Kiboye namba tatu.

Lameck alikuwa aliyazungumza hayo kwenye msiba huko Utegi
 
Ilani potovu za Chama hazitekelezeki. ACHA tusome namba kwanza. Namba hazidanganyi.
 
Mbunge wa Rorya ambaye alikuwa team Lowassa ndani ya CCM Lameck Airo anadai nguvu Ya Soda inayotingisha. Nchi sasa hivi ni ya muda mfupi, kwani ni gesi tu. Anadai Magufuli anakivuruga chama, na punde wenye chama waliomuweka madarakani watamtuliza, kwani hatekelezi imani za chama Bali ilani za upinzani. Sijui tafsiri ya Lameck Airo, ila nadhani anahofia rungu litamwangukia, kwani kaligeuza Almashauri kama mali yake binafsi. Miradi yote jimboni Rorya ni yake na rafiki zake, Ochele Obutu na Kiboye namba tatu. Lameck alikuwa akiongea kwenye mziba huko Utegi

Namba Tatu amekuwa Tajiri sana kwa mbinu za kimafia na utapeli mkubwa amekuwa akimtumia Magufuli kama ngao ya kujichukulia pesa na tenda huko Rorya na sehemu zingine, huwadanganya watu kuwa yeye ni rafiki mkubwa wa Magufuli hivyo chochote anachomwambia anasikilizwa.
 
Mpambe wa Lameck kwa jina anaitwa Gerard al-maarufu kwa jina la Namba tatu ni bonge la Tapeli kwa kutumia majina ya watu wakubwa Serikali hata kipindi hiki cha heka heka amekitumia vizuri kuwalia pesa mazuzu waliopo karibu naye, hao watu ni shiiiida tupu.
 
Huu Mwaka mtaamuu!!!

Nilifikiri namba wataisoma UKAWA kumbe ni sisi wenyewe CCM

Sasa January , Nape, mwigulu wakikosa Uwaziri namba itakuwa imesomwa vizuri lakini endapo watateuliwa kuwa mawaziri bado neno kusoma Namba litakuwa la kawaida pasipo vitendo.
 
Kama kalisema hilo jamaa hajisomi, Magufuli kukivuruga chama sio kitu kibaya, ni kitu kizuri kwa kua anaonyesha yuko tayari kwenda against chama chake ili mradi akafanya kitu watanzania wanataka. Sasa badala ya kusifia mtu mwenye confidence kama huyu, specie hii inakuja na kusema "watamtuliza" ovyo kweli huyu jamaa. Magufuli haanguki kirahisi kama watu wanavyofikiri, yuko very focused toka zamani na wapo watu ndani ya CCM wanamuunga mkono. Wanaompinga ni wachache sana
 
Mwenye CV ya huyo mbunge atuweke hapa. Jinga kweli hilo; mfyuuuuuuuuu

Alifikajefikaje kuwa mbunge. Hawa ndio watu wa kuombewa laana ili wasimdhuru Rais wetu makini katika operation yake. Ukiona mtanzania anasema vibaya juu ya kinachoendelezwa na JPM mfanye kama anavyofanya kibaka wa kariakoo.
 
Lameck Airo Pamoja na Namba tatu ni. Majambazi sugu wanaochukua mahindi kwenye ghafla za serikali na kuzipeleka Kenya
 
wewe na ailo wako tutalala nanyi mbele mtanyooka tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom