Hatimaye vijana wa CCM Zanzibar waanza kumtelekeza Shein

kambagasa

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
2,241
1,749
Ni katika maskani yao kubwa ya Kisonge iliyoko Michezani Zanzibar.
 
Attachments

  • 1448627254784.jpg
    1448627254784.jpg
    25.1 KB · Views: 2,590
  • 1448627274758.jpg
    1448627274758.jpg
    25.3 KB · Views: 2,413
Hili bango lina walakini !!!
yaani anayedanganya ni nani? picha katika background. Kisonge ni Michenzani kuna magorofa na Siyo Minazi.Msiikufuru profession yetu na mshike adabu zenu msinajis profession
 
haina haja ya photo editor ,ccm imefikia mwisho na haswa pale UN watapofika kikamilifu kusimamia uchaguzi kuanzia uandikishaji hadi ulinzi wa uchaguzi ,kama wameiba 27 chini ya UN kama haujawahi kusikia ccm haikupata kura,uchaguzi mwezi wa sita chini ya usimamizi wa UN. au ipeni CUF ushindi wake ili kuepuka aibu ya karne.
 
Aslam aleikum Mwiba. nakukumbuka wa zamani. sawa wacha urudiwe. na jitahidi kumdhibiti Maalim na jazba zake na ndoto zake za alnacha anaweza kuishia Segerea na hivyo kukosa hata vile ving'ora vya SUK.
 
yaani anayedanganya ni nani? picha katika background. Kisonge ni Michenzani kuna magorofa na Siyo Minazi.Msiikufuru profession yetu na mshike adabu zenu msinajis profession

wewe huna adabu kabisa na unaonekana kama mtoto wa mtaani aliyekosa maadili ya wazazi wake, kama unao wazazi basi na wenyewe adabu zao ni kama hizo za kwako na inawezekana wazazi wa wazazi wako hawakuwa na adabu ndio mana hawakuwfunza adabu wazazi wako na wazazi wako wakashindwa kukufunza adabu wewe, pumbavu kabisa.
 
Ni katika maskani yao kubwa ya Kisonge iliyoko Michezani Zanzibar.
ing

Acha kudanganya uma wewe,unafikiri watu wote wajinga kama wewe,hilo bango ni editimg,sijui progragam gani imetunmika lakini ndio hzo program zinazoitwa "photo shop"
 
wana Jf huyu mtu n muongo mm n mkazi wa hapa michenzani kisonge hakuna kitu kana hcho kilichowah kuandikwa hata ukitazama hayo mandishi n tafaut na chaki inayotumika katika ubao huyu jamaa n mfitinishi vitu kama iv vya kueditiwa havipaswi kuwekwa JF wahusika sio mbaya wakitoa....hawa kisonge n jirani zangu hawana watakachoandka nisisome......maneno yao ya juzi kati " Baba chezea ndevu zako husichezee nchi ya watu"
 
Back
Top Bottom