Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

Easy Dude.

Member
Oct 9, 2014
11
7
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.

Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).

Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.




Kama ilivyo desturi Jamiiforums ni sehemu ya kwanza ya kujipatia habari..

Toka mshindi wa miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atangazwe yameibuka maswali mengi sana, juu ya umri wake halisi, yeye akisema ana miaka 18 na baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23...

Team ya kazi ilibidi iingie mtaani hapa Dallas ili kuweza kubaini ukweli wa mambo kuanzia elimu yake na umri sahihi, tumeweza kupata nyaraka zake mbali mbali kuanzia za elimu hadi za kuzaliwa, na bila kusahau yale mambo ya faragha nayo pia hayakukosekanika kama ilivyo desturi mabinti wa kisasa.

Huyu binti wa Mtemvu ana elimu zaidi ya ile ya form IV aliyoipatia Bongo na kuishia kupata mswaki, na sasa hapa anajishughulisha na mambo ya Acting/modeling

Akiwa amezaliwa 31 May 1989 kama inavyoonekana kwenye passport yake.

Jamiiforums ni sehemu ya heshima, tunashindwa kuweka picha zake za faragha au video kwa kuwa lengo letu sio kumdhalilisha bali ni kuweka ukweli bayana, kadri siku zinavyo kwenda mengi zaidi yatajulikana juu ya huyu mrembo ambaye wengi mnasema hana sifa hiyo


attachment.php

attachment.php

18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age

Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age

Minus 7yrs primary education = 0yrs of age

Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age

Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age

So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa

Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
 
mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu
hapa,Miss Tanzania wa mwaka 2014...umri
18yrs,elimu Masters, jaman kwa namna ipi,
kivipi Yaan .....inakuaje nisaidieni, inachukua
miaka 18 mtu kupata masters..so Alianza shule
na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba
kueleweshwa hapa kidg....

Kama Hii Tu Unashangaa Na Mimacho Kukutoka Je Ya Grace Mugabe Mke Wa Rais Mugabe Wa Zimbabwe Utafanyaje?
 
hao viongozi wa mashindano hawajuii au nao ndo hivo tena walimegewa chao wakakaa kimya?? yan sielew kabisaaa
 
18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age

Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age

Minus 7yrs primary education = 0yrs of age

Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age

Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age

So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa

Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
 
Back
Top Bottom