Asanteni watanzania, tunaahidi kuendelea kuwatumikia kwa umakini zaidi!

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,013
Wana JF,

Kwa niaba ya timu nzima ya JF, napenda kuwashukuru kwa kutufanya kuwa ukurasa mkubwa katika Facebook kwa Tanzania (Leading Facebook page in Tanzania) - https://www.facebook.com/JamiiForums

Tunapoelekea kuwa na wadau zaidi ya 200,000 katika Facebook na kukaribia wanachama 150,000 katika tovuti kuu; Tunaahidi kuendelea kukutumikienj kwa kadiri ya uwezo wetu na tunaomba ushirikiano wenu kushiriki ku-SHARE habari zetu na kuwaalika marafiki zaidi ili familia yetu izidi kukua zaidi na zaidi!

JamiiForums
 
Good job!

Jamiiforums inayafanya maisha yangu kuwa rahisi sana! Ndiyo kitu cha kwanza kuangalia asubuhi nikiamuka. Hakuna chombo cha habari cha uhakika kama jamiiforums. And now its becoming popular not only in Tanzania but also in East Africa.

Kuna marafiki zangu waganda na wakenya wengi tu ni member wa jamii forums and kuna waethiopia kadhaa wapo wiling kujiunga. Though tunahitaji kuongeza matumizi ya kiingereza kwenye international forum ili ku-accommodate watu wa mataifa ya nje pia.
 
Tuko pamoja!.. Naomba busara zaidi itumike kupiga ban. Adhabu ya miezi kwa makosa madogo kama kusema/kuwajuza wana JF kuwa yule mzee wa matusi toka kigoma - SERUKAMBA kasemaje - ni ADHABU KUBWA sana.
 
Unadhani ukiwa Ccm ndo unaruhusiwa kuvunja sheria a Jf.

Hivyo ndo walivyozoweshwa, hebu cheki Serukamba alifanywa nini? Au Lusinde hadi leo kafanywa nini? Au Nkamia na Mwigulu wamefanywa nini? Hali hiyo ndo inawafanya wengine wadhani wako juu ya sheria na kanuni za eneo husika
 
Back
Top Bottom