Sijui ni macho yangu?

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,304
12,744
Mwenzenu sijui ni macho yangu tu au ushamba labda.....
nimekutana na hizi picha mahali.....
Eti macho yangu yananiambia hizi picha zote BEFORE ni better than AFTER
sasa najiuliza hiyo deki ni ya kazi gani?
naombeni mwongozo jamani

dada yetu huyuuu before n after
kudadadeki caro light si bongo tu world wide
chezeya kuwa mweupe weweee
Lil Kim a.k.a Queen B
atiiii hahaaaa sijui ni jini kisirani
ameingia ktk urembo huu
sio vizuri kumsema marehemu ila hapa
nakufa mbavu wallahiiii
Michael alikuwa kiboko
RIP The Greatest Ever Wacko Jacko
kumbe hata ma supermodel ruksa kujipiga deki ?
leo nimewakomesha wale wanaowasema wapigaji deki
wa bongo ona sasa majuu
mkorogo ni mkorogo uwe wa buku au wa mil
jambo ni lile lile mkorogooo


hivi una mfananisha na nani hapo bongo dsm maana
dada kajidadavua
eeeh Yesu baba rudiii
maana huku hakuna anayetaka kuwa ze black

sio wadada tu hata wakaka wamo
ktk team ileee
ya kujichubua

 
Hahahahaaa
Macho yako ni kama yangu
Nimejaribu kuangalia kwa jicho moja bado nimeona kama wewe
Du! angalau sasa najiona wa kawaida, lol!
sasa sijui kwa nini watu wanapenda hizo deki wakati wanajua wanajiharibu!

By the way, naona umetokelezea kivingine, lol!
 
Du! sasa sijui nikusaidiaje?
ungeona ingekuwa bomba sana.
sijui nani anaweza saidia uone?
tafuna Carrot, lol!
FP naenda kutengeneza mawani ya mbao nitaona
zaidi mcheki Michael (RIP) alivyokuwa na sura ya kiafrica black na alivyobadilika na kumong'onyoka
 
Last edited by a moderator:
Jaman wanatisha balaa... Ndio yenyewe mikorogo wala hujakosea my dia @fp
ha haaa, na siwezi sema unakuja haribika baadae.
kwani mi naona hata hao wanaojiona muonekano mpya wapo bomba, wanatisha.
hakuna kitu kibaya kama kutokujikubali
 
FP naenda kutengeneza mawani ya mbao nitaona
zaidi mcheki Michael (RIP) alivyokuwa na sura ya kiafrica black na alivyobadilika na kumong'onyoka
umeona eeeh!
yaani alikuwa cute........ hivi wababa nao wanaruhusiwa kuwa cute?
 
ha haaaa, mujini pesa, lol!
uhandisamu utanipeleka shopping?


Ndo hapo sasa FP kuwa handsome halafu mfuko hauna kitu ni sawa na gari kutokuwa na engine hata kama ni vogue halina thamani
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky hawa madogo hawafundishiki sana sana ni kupoteza nguvu na muda tu,
muulize Bishanga anavyotoa mausia kwenye kitchen party lakini siku ya tatu tu ndoa kwishney

FP hapana bana ataniambia kuhusiana na uhandsome sio hayo ya kuwa tena uko cute dah
Kwanza hanisifii kwa hayo FP ananisifia kwa mengine kabisa haswa kwenye uwanja na mfuko bana
Au unasemaje Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom