Search results

  1. D

    Mtihani mkubwa katika maisha yangu

    My advice pray to ur god that akuepushie na haya maradhi, kama ni kidumu basi jua ulivyowapata leo ni siku ya 39 , za mwizi 40 zinakaribia.
  2. D

    Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

    mhhh, ijumaa kuwa mapumziko, kweli naona tunataka kushindania kuwa namba moja kwenye nchi maskini.
  3. D

    Usajili saccos

    mtiririko sio mrefu coz mnakikundi tayari. kwa information zaidi mtafute Afisa ushirika wa eneo ulilopo atakusaidi.
  4. D

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    duu poleee coz usingizi ulivyo mtamu then una u mic, nyumba yenu haipo bonden? labda ni dalili ya mafuriko
  5. D

    Urgent!...ushauri unahitajika kuninusuru

    nakubaliana na wadau " usiulizie sana kwa watu" wengi hawapendi uhusiano wenu. kama unataka ukweli mshirikishe Mungu kwa maombi. pia unaweza kwenda msalimia bila kumtaarifu lazima utagundua tu kitu. Pio wakikupa taarifa zake waambia unahitaji ushahiidi.
  6. D

    Msiokuwa na kazi na mnajidekezadekeza kitaa huko soma hapa!!!!

    Thanks, kazi imebakia kwetu kutake action.
Back
Top Bottom