Angalia sana muda wa kampeni za kunuliwa baado
Huyu atakuwakilisha kupitia nafasi nyingine ya juu atakayopewa na chama.
Shughurli zote anazozifanya juu ya jimbo lako na Taifa huzioni????? wewe ni mzigo kwa wana singida na taifa kwa ujumla.
Mbona WaTZ chaguo letu ni Dr.Slaa inakuwaje unapotosha muda huu katika kuelekea 2015 ? Tunataka mtu anayeweza kufanya kazi za WaTZ na sura mpya kabisa na siyo atakayekuja na kundi la akina Lukuvi,Wasira,Membe na wengineo?
Dr.Slaa baado ni nyota inayong'ara kwa WaTZ 2015 hilo halina ubishi.
Kilichofanywa na CC ya CHADEMA kwa wanachama wasaliti ni cha kupongezwa sana na nawaomba
uongozi wa juu usiyumbishwe na majadiliano yanayoendelea sehemu mbalimbali ha nchini.
CDM ni chama ambacho hakimumunyi maamuzi yake wala HAKINA SERA ZA HOVYO KWA ANAYEKISALITI
AU KWENDA KINYUME NA TARATIBU...
INASIKITISHA sana kwa watu wanaotumika kwa kurubuniwa na wasioitakiwa mema Nchi yetu hasa katika kipindi hiki nyeti cha kuelekea kwenye chaguzi muhimu,ambapo Watanzania wanaofikiria kuutumia muda wao vizuri kwa kuchagua chama makini na viongozi wake wakishuhudia mbinu chafu toka kwa baadhi ya...
Si sahihi kuthathmini kitakachotokea katika chaguzi za Tanzania 2015 kwa kulinganisha na kinachotokea au kilichotokea
Zimbabwe.
Sababu za kusema hivyo ni hizi chache tu na kama yupo mwenye kuongezea hapo anakaribishwa.
1.Zimbabwe imeendelea kuwa na viongozi walewale wa muda mrefu ndani ya ZANU...
CHADEMA haitakaa hata siku moja ikawa na majibu ya kujibu UPUUZI kama huo unaouleta hapa
jamvini.
Ukitaka uolewe wewe CCM haijatoa pingamizi na yenyewe ndio yenye serikali hivyo uliza kwake
kibali cha wewe ili uolewe.
Suala la Dr.Slaa kuwa nje ya Nchi halikuhusu wewe,uliza hao wanaoafanya ziara...
ulijijua kabla hata hujaamua kuandika pumba zako
ni nani ambaye haoni yanayoendelea hata ukawa unawasemea.
ngapi hapa umelipwa??????????????????????????????
Take care:
Kila mtanzania anaona kinachoendelea
Hazungumziwi wala hafafanuliwi kinachofanyika kwa sasa.
Kula hizo zikiisha tafuta tena...
1.hamkuwa na wanasheria,wataalam,au watu wenye plan ndani ya CUF na hatimaye mkajikuta mnamkumbatia ccm.
2. kupigwa kwa viongozi waupinzani sio dalili ya umakini waviongozi hao kuleta ukombozi unaokusudiwa.
3. iweje aliyekupiga leo hii umeungana nae SHIDA yako pale ilikuwaupigwe kwanza halafu...
Bw.Mulugo,nikutahadharishe na majibu yako kuwa si sahihi na majibu unayowajibu watanzania kama hayo na hasa
ukizingatia baado sababu za kufeli vijana wetu hazijatolewa kwa uwazi zaidi.
Imekuwa ni kawaida kwa kila kiongozi aliyepo ccm anapokumbana na kashfa zinazomhusu anakimbilia kujitetea
kwa...
Omokora Nyangi,taarifa ya tafiti ulizofanya na kujiridisha nazo ni vizuri ukazitumia kukijenga chama kwanza
kupitia kwa wananchi,badala ya kutaka kujijenga wewe mwenyewe.
Chadema,watu wake na hasa wanachama safi hawajaanza kutangaza nia zao,ila wapo kwenye
mkakati wa ujenzi wa chama kwa kutumia...
Chama kilichokuwa kinalia kuwa CDM inaingilia ngome yao,Je viongozi wao wameshiliki????????????????
AU ni vile vyama vya njaa kwa viongozi wao wakishapewa nafasi kimya hakuna
uwakilishi wa wananchi kama tunavyoona Bungeni
huna points
kwani bungeni wewe ulikuwa kipofu na kiziwi
otherwise ni walewale wanaowacheleweshea wananchi
UKOMBOZI WAO.
CHADEMA HAIPANGIWI CHA KWENDA KUWAMBIA WANANCHI
TANGU HAPO WALISHAKUWA NA HOJA AMBAZO HATA SISI TULILIONA BUNGE LILILOPITA.
KAA KIMYA.
Lakini wakati huo huo Tundu Lisu anawaeleza ukweli kuwa kuandaa Benkiya kutoa mikopo kwa vijana
ni lugha ya kutongozea KURA 2015,Watz wengine wanamwona kama asiyewajali vijana.
Je nani anayewapenda vijana kwa yule anayesema ukweli au anayejipendekeza kwa kudanganya
na wakati akijua jambo hilo ni...
Kinana misemo kama yako ya kusema huna muda wa kujibizana na wapinzani ndio MAJIBU mliobakia nayo:-
Kama si hivyo basi nijibu mimi mwananchi au mtanzania anayetaka kujua yafuatayo:-
1. Kabla ya hizo tarehe za maadhimisho ya ccm kule Kigoma hukuwahi kufikiria adha ya usafiri wa treni wanayoipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.