Search results

  1. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mimi ndo ntapigilia msumari wa mwisho
  2. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    angani kuna wenyewe co km ww ucyejua kupanda hata ungo
  3. M

    Dalili Kuu za Mlevi Anayekata Network

    huanza kuwashika Bar Maid makalio kila akihudumiwa nakujitanya kumpa offer
  4. M

    Misemo ya mitaani

    nachochea kwa lipi wang?
  5. M

    Mwanzo wa meditation

    kaka Rakims naomba kujiunga na darasa lako la whatsapp, 0713230313
  6. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mimba sio tatizo ila isiwe kwa mwanafunzi
  7. M

    Misemo ya mitaani

    suriiiiii!! thread imekuwa ww sasa
  8. M

    English shidaa

    Daddy,what is my seniority in your family?
  9. M

    Madereva wa mabasi ya mikoani wagoma Ubungo!

    swala la kusema madereva kutembea na vyeti ni dhahiri utoaji wa leseni ni mbovu,mtu atapataje leseni bila kupitia TRA kuonesha cheti? hapo inaonesha mianya ya kupata leseni feki ipo na inajulikana.
  10. M

    Sarafu ya sh 500 haina ubora!

    ni shida chini ya shiiidah!!!
  11. M

    Tangazo la anko kidevu

    Kidole nae mbeaa!!! Sa nani atamnunulia thoda na chipis tena....!!!!!!
  12. M

    Genius Planning!

    Akili za kujiongeza hzo.
  13. M

    Inbox - boyz vs girlz

    Ha ha haaa haaa haaaaa!!!! Nimeipenda sana hyo ya Paul
  14. M

    Msaada: Nitapata wapi hospital ya mifupa tofauti na MOI?

    Dk Baki ndo mwisho wa matatizo ndg yangu,kuna rafiki wangu niliendaga nae pale na maendeleo yake ni mazuri kusema kweli.
  15. M

    Ajali ubungo terminal

    Chanzo cha ajali wanasema ni ukuta uliokua unavunjwa uliopo kwenye parking wakawa wameuacha sehemu ya juu ya beam/lenta bila kuumalizia.Ilipofika asubuhi ya leo tu mara ukajimalizia wenyewe.Magari yaliyoangukiwa ni 15 na bajaji 3,majeruhi ni 3.
  16. M

    tiGO imefirisika?

    We boya kweli,duuh!!!! Bw. Ali alijua tu ww ni mbulula,utatoaje hela kwa mtu binafsi wakati huduma unayoihitaji ni ya kampuni? Office za tigo zinazohusika kutoa huduma hyo ulikuwa huzijui?Mwenzio Ali yuko batani sasa anatumbua.
  17. M

    Mtoto.

    Inaonesha huyo mtoto ni mtukutu sana,inawezeka aliiba Nairobi ya mwl akasahau alikoificha ndio maana hasemi.Hapo mkong'oto tu na atasema alikoipeleka.
  18. M

    Hivi haya masoko vp jamani?

    Leo hii soko kuu la Singida limeripotiwa kuungua kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme.Tukijaribu kutafakari ni masoko mengi yamekuwa yakiteketea kwa njia hii na hamna tahadhari yeyote inayochukuliwa ktk kuhakikisha majanga km haya hayajirudii.
  19. M

    Kiswahili cha "SOFT COPY" na "Hard Copy"

    Kwa uelewa wangu nnavojua mm ni Rudufu tepe na Rudufu ngumu(Ila kwenye hard copy sijapata kiswahili chake sanifu)
Back
Top Bottom