Search results

  1. B

    Anguko La CCM Arumeru: Tafsiri Yangu

    big up Mjengwa kwa uchambuzi makini. Wasiwasi wangu ni kuwa ccm hakuna dalili za mabadiliko. Kwanza chama kimekosa msimamo, kwasababu haijulikani kinasimamia nini. Hebu jiulize kuhusu kujivua gamba, tuliaminishwa kuwa kuna mapacha watatu wanaochafua chama inabidi waondoke lakini mpaka leo wapo...
  2. B

    Wekeni hapa matokeo ushindi wa CCM

    tuacheni demokrasia ichukue mkondo wake. Kushindwa si dhambi ccm kubalini matokeo.
  3. B

    Matokeo ya Igunga na Maana yake Kwa CHADEMA kuelekea chaguzi nyingine

    Tatizo letu wabongo hatujengi mifumo ila tunatengeneza watu. Wakati wa kampeni familia ya mheshimiwa ndio iliongoza mashambulizi. Je mama Salma na Riz 1 ni wakubwa kuliko Pius Msekwa? Hivi CUF hawana wanachama wengine zaidi ya Maalim Seif na Lipumba? Kweli Mrema ni maarufu zaidi kuliko TLP? Bob...
  4. B

    Rwandair kuleta ndege 2 za b737/800 aug/sept 2011

    Tanzania kisiwa cha amani, watanzania wanajua na dunia inajua! Tanzania tumepiga hatua kubwa kimaendeleo miaka 50 ya uhuru, watanzania wanajua na dunia inajua! Tumefanya maamuzi magumu, shule za kata, UDOM, Kujiuzulu cabinet,watanzania wanajua na dunia inajua! Tumeuni nembo ya kisasa ya...
  5. B

    TRA yajipanga kudai mabilioni CHADEMA

    Hii ndio Tanzania, zaidi ya uijuavyo, yaani haishi vituko. Mosi, gazeti la Uhuru ndio limekuwa Afisa Habari wa TRA? Pili, TRA walikuwa wapi mpaka Chadema ikakwepa kodi kwa miaka 19? Tatu, rekodi ya ulipaji kodi ya CCM iko wapi? Nne, TRA wameshindwa kukusanya kodi kwenye sekta nyeti ya madini...
  6. B

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Hoja ya Mhe. Rais ni nzito na inahitaji uchambuzi yakinifu ili kupata mantiki yake. Jambo la kwanza kila mmoja wetu anakubali kuwa biashara na matumizi ya dawa za kulevya yamezidi kushamiri hapa nchini na madhara yake yanajulikana. Pili, wahusika katika biashara hii ni wanadamu wenzetu wa hapa...
  7. B

    Waraka wa Hussein Bashe kwa NEC, CC na secretariet mpya ya CCM

    Hongera Bashe, tatizo maneno yako hayawiani na matendo. Watz tumekosa uzalendo tumebaki kuwa wanafiki, hivi 'character assasination' na siasa za 'personality' ndio kuchaguliwa kwa JK, kupigwa chini kwa Sitta au Chenge kuwa M/kiti Kamati ya Maadili? Give me a break- Hatudanganyiki
  8. B

    Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

    Mzee Makamba amefanya kazi yake vizuri ya kupiga porojo nafikiri nafasi yake kubwa kabisa ya utumishi wa umma angestahili kuishia kwenye ukuu wa mkoa. Baada ya kustaafu kumpa kitu cha kufanya labda angejiunga na TOT pale na akina John Komba wakaimba nyimbo za kuhamasisha wananchi kuunga mkono...
Back
Top Bottom