Search results

  1. F

    Dada ukitongozwa kubali...

    hahahahahah naanzaje kwa mfano, ngoja ajifunze kwanza then next time mwingine akijitokeza atakua na nidham
  2. F

    Dada ukitongozwa kubali...

    kuna mmoja nimemfatilia sana aise, mara anichukie, mara aniblock, mara ale pesa zangu kizembe tu, nikawa najipa matumaini huku nikiamini mke namtafuta.....ikawa kila ninavozidi kumzoea nikaona ni mtumiaji zaidi, sio kama anavojichukulia, "you know", zinakua kibao wakati umri unaenda...
  3. F

    Tunaomiliki salon za kiume Tukutane hapa tuambizane namna ya kuziinua zaidi

    Kwa upande wangu nina miezi tisa saiz....wakati nafanya kazi mkoa fulani hivi nilikua na urafiki na jamaa mmoja na muda mwingi alikua yupo tu.... Then akaja kunieleza kua yeye masuala ya kunyoa na music anayaweza... Then nikanunua vifaa vyote vya saluni, tukatafuta fremu na kazi ikaanza...
  4. F

    Nimeota ndoto nafanya mtihani wa darasa la saba

    We jamaa dahhh.....kunaukweli kabisa
  5. F

    Nimeota ndoto nafanya mtihani wa darasa la saba

    Ni zaidi ya mara moja naota hii ndoto ya kwangu Huwa najikuta nipo jiran na mitihani na mara nyingi ni siku moja kabla ya pepa, mara zote huwaga linakuja somo la math na ni advance Najikuta natakiwa nijiandae ndani ya siku moja na nimesahau vitu vingi na muda ni mchache sana, nakua nafanya...
  6. F

    Mwisho wa muendelezo ya story yangu ya Jela sio pazuri vijana wenzangu,,

    Sijui ni lini hiyo alikua jela, hizi zote nyunzi kazianzisha yeye na ni hiv karibuni tu
  7. F

    Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

    Kwani draw inafanyika saa ngapi wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. F

    Tanzania inauhitaji ushiriki wake AFCON kuliko hizi siasa za miaka ya sasa

    hiv hili kundi sijalielewa bado, imekuaje lesotho akawa nafasi ya pili maana naona kafungwa magori saba na sisi tumefungwa matano, magoli yakushinda wote tunayo matatu hebu mwenye ufafanuzi hapo aise Sent using Jamii Forums mobile app
  9. F

    UDSM wamenifungia matokeo yangu sababu nina deni la ada.

    Hiki kitu hakuna....hauwezi fanya mtihani bila kulipa ada lamili....ID ya kufanyia mtihani uliipataje? Utaratibu wa UDSM ni kwamba lipa direct cost na ada, upewe id ndio utakua unaruhusiwa kufanya chochote kinachohusiana na chuo
  10. F

    Kauli gani mbaya ulizowahi kutolewa na watumishi au wahudumu wa sehemu fulani?

    Aise nimekumbuka mbali sana: Kunasiku nimetoka chuoni na kwenda kiwanda cha bia cha *serengeti* kupeleka barua za field . Kufika pale mapokezi nikamweleza dada kilichonipeleka: Nikaambiwa "nikuambie kitu kaka, barua yako naipokea naitupa pale" Nikamwambia naomba niongee na HR...nikaambiwa peleka...
  11. F

    Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

    Yaani we ndio umemaliza kila kitu.....waliobaki wote ni kanyambola tu
  12. F

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Nimeenda ofisin kwao kabisa...all iz well...now ready for the journey
  13. F

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mkuu samahani nataka kuhudhuria semina ya jumatatu 23/10/2017 itakayo fanyika dar....sasa nataka kujua nalipaje pesa ya semina ?...na expense nyingine ni zipi?.... Thanks in advance mkuu i would like to get into this as soon as possible mkuu..
  14. F

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Nimefanya mazoezi ya kutosha na kusoma vitabu...kwa sasa nina mwanga kwa kiasi chake....katika kuongeza maujuzi napenda kujua vitu vifuatavyo.. 1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about?? 2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni...
  15. F

  16. F

  17. F

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nimefanya mazoezi ya kutosha na kusoma vitabu...kwa sasa nina mwanga kwa kiasi chake....katika kuongeza maujuzi napenda kujua vitu vifuatavyo.. 1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about?? 2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni...
  18. F

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Nimefanya mazoezi ya kutosha na kusoma vitabu...kwa sasa nina mwanga kwa kiasi chake....katika kuongeza maujuzi napenda kujua vitu vifuatavyo.. 1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about?? 2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni...
  19. F

Back
Top Bottom