Nami nilikwenda Ruaha kwa nia ya kulima kitunguu lakini mwenyeji wangu akanipa wazo la kuanza na nyanyachungu. MUNGU akijalia kuanzia wiki ya mwisho ya January nitaanza kuokota moja moja. Nitawajuza.
Pia kuna mmea unaitwa tulatula sijui kama ni Kiswahili au kikwetu), mimi huwa nawatwangia majani yake na kuweka kwenye maji wanakunywa. Sina ushahidi wa tiba wala kinga ya nini ila huwa nawapa kwa kuwa nami nilipokuwa mdogo nilimwona baba anawapa. Pilipili pia zinatumika japi sijui zinasaidia...
Mkuu Kajole au yeyote anisaidie na mimi. Nataka kulima Dakawa kwa njia ya kukodi shamba. Naomba kujua yafuatayo 1. gharama ya kukodi ekari moja 2. Bei ya mbegu 3. Kiasi cha mbegu kwa ekari 4. Madawa 5. gharama za kulima 6. gharama za madawa 7. mavuno ya juu na ya chini kwa ekari 8. muda wa...
Kuhusu dawa kwenye ubaridi - ukienda kununua wanakuwekea kwenye barafu. Waambie unakweenda mbali na utafika kabla haijayeyuka tukichukulia mwendo wa saa tatu hadi tano.
Mimi kuna kipindi huwa nanunua inakaa muda wa saa 12. Njia nzuri zaidi ni kwenda na chupa ya chai na kuomba hiyo dawa...
Wapi alisoma haijalishi ila kwa DC kutoa maneno kama hayo ni kudhihaki kiti chake. Aliyepiga walimu wazembe mkoani Kagera alifukuzwa kazi. Nashangaa kwanini Gumbo bado yuko ofisini.
Hivi huyo ambaye matawi yanaangukia kwake, ikitokea siku moja tawi likavunja kioo au likaumiza mtu atakubali yaishe kwa kuwa nae anafaidi maembe? Nafikiri ushauri mzuri na wa kudumu ni kukata hayo matawi, labda kama mjumbe unapenda kuneemeka na mgawo wa hizo embe. Mfano wa mkahawa (Omumwani)...
Hapa naona na Vodacom wana uvyaifu. Kama wao rangi yao ni nyekundu kwanini watengeneze nembo ya rangi tofauti ? Naamini hiyo logo yao imesajiliwa na BRELA sasa inakuwaje leo waisikilize timu. Jambo lingine ni uonevu kwa timu ndogo kama African Lyon, kwa nini nao hawakupewa fursa ya kuongea na voda ?
Nimetoa email address yangu na wahitaji wamekwisha anza kunitumia email. Naamini mtu anayehitaji atatuma email na tutaanza mawasiliano rasmi. Kuna wanaosema sikutaja kitu kimoja tu ambaho ni bei lakini nafikiri unapotaka kununua kiwanja ni vizuri ukajua mambo mengine kama 1. Kina hati 2. kiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.