Search results

  1. N

    Serikali yakimbia bungeni, yaogopa mapigo ya upinzani, spika ainusuru kwa kuahirisha Bunge

    Sasa tunaoneshwa wazi kuwa hakuna mgawanyiko wa mihimili mitatu katika serikali ya tz kwani kiongozi wa bunge amedhihirsha hilo kwa kuaccep the gvt command.
  2. N

    Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

    Huyu Mzee anajikomba kwa CCM ili aweze kuishi.
  3. N

    Maalim Seif: Tunataka kiti cha Zanzibar UN kirudishwe

    Ndugu zangu, mi nafikiri ni vizuri na faida kwa wabara kuachana na hawa jamaa. Hebu tuwaache waende, tunaweza kuishi bila muungano tena kwa raha mustarehe kuliko wao.
  4. N

    Simba sc: Utapeli wa kisoka wa MBUYU TWITE

    Mwafrika anayejifanya hajui juu ya uwepo wa waganga wa kienyeji ni mwongo. Science hii ipo ukitaka omba uoneshwe kazi.
  5. N

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hawa jamaa wanataka kuzima moto wa M4C kwa hoja nyepesi. Hawawezi kufuta nyayo za CDM kila walipopita.
  6. N

    Nimeamini Mwalimu Nyerere alikuwa anaona mbali sana...Tazama hii!

    M4C sasa kuibadilisha nchi kwa nguvu ya umma. Yaushirikisha umma wa watanzania katika kujiletea mabadiliko ya mapinduzi ya amani.
  7. N

    Nimeamini Mwalimu Nyerere alikuwa anaona mbali sana...Tazama hii!

    Hii ni kweli kabisa ndio mañana viongozi wa CCM wanachomwa na hotuba zake nyingi sana hasa alipozungumzia swala la rushwa.
Back
Top Bottom