Search results

  1. S

    Kuacha kazi kwa notice ya siku 28

    Unalipwa kama kawaida..
  2. S

    Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Ci ndo keshasema jamani.. Au hujui yeye ndio mwajiri mkuu.. Afu kasisitiza atapunguza mwenyewe, ajamuagiza mtu..
  3. S

    WanaJF ingilieni kati huu msala

    Una zarau kwel wewe,, yan katumia mda wake kukueleza anachofaham afu unajidai unajua sheet" mbona ungemwelekeza tu"" nenda kampun C basi"" mijitu mingine bhana
  4. S

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Ukawa ndo wanalia na english ya magufuli hoja zimeshaisha mapema hii.. Duu n shidaah ad 2015 ci ad stail yake ya kunyoa itajadiwa
  5. S

    Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Sizan kama kuna iman inamtaka mtu afungulie maspika usiku kucha, n ratiba zao tu wanaeza shauriwa kuzibadili, kuna madhehebu wakikesha taifa linajua na ulinzi unaimarishwa n vema na haya madogo madogo kila kona wajitahid kupanga cku maalum..point yangu ni usalama na utulivu kwa watu wengine
  6. S

    Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Mtaani kwetu wezi wanatumia fursa hiyo kufanya yao a kutogundulika kirahici kutokana na makelele ya bar na makanisan. Ni vema kuwe na mikesha maalumu inayotambulika kitaifa na ulinzi uimarishwe na pia sheria ya kuanzisha makanisa ipitiwe upya coz kila mtu anataka kuanzisha ni wakati wa...
  7. S

    Asha Rose Migiro hajawahi kugombea ubunge jimboni wala viti maalum, yeye ni mtu wa kuteuliwa tu

    Kunywa kwanza maji usipanick.. Sio ukawa wanalalamika.. Ni ndan ya ccm ileile wanamshangaa
  8. S

    Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Nasikia azam matangazo yapo vizur., itv ni sintofaham toka waanze..
  9. S

    Picha: Mama Regina Lowassa atikisa Mbeya Mjini

    Povu la nini mzee., ulitaka akuoe wewe., point n first lady katika ubora wake,katishaje!!
  10. S

    Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Ukonga

    We kasingo ni nape au yashumta
  11. S

    Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

    Kwani we hujui huu ndio wakati muafaka wa mabadiliko?! Au umejiondoa ufaham tuu..hii haiitaji ata twishen.. Ni lowasa mabadiliko na mabadiliko lowasa
  12. S

    Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

    Uku ukawa tu.. Labda we upo temeke ya lumumba
  13. S

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Mbona lembeli katoka mwenyewe akajanusha ile kuwa yu mahutuhut...
  14. S

    ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Aisee imenipita izi mbinu za ccm izi.. Nmejiegemeza tu kidogo wakaleta pepo la usingiz..
  15. S

    ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Asante kwa kuja.,picha izo zinanibariki
  16. S

    ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Kwan ni ukawa au itv ndo wameahid wataileta.. Tafakar
  17. S

    ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    M nawatega apa nijue ka itawafikia.. La sivyo da nitahuzunika kwel.,Izi jez za kijan na njano zinaumiza macho
  18. S

    ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    Wamedai haijawafikia vizuri kutokana na tatizo la umeme. Fanyeni juhudi tusoomeeni baada ya michezo. =============
Back
Top Bottom