Hizi ndoto nimeziota saana na ni kweli nikiota nakula msoto wa maana mpaka imani inanishinda.
Nataka kufanya lolote yaani hata kulishika buku haiwezekani,
kwa kuongezea nakimbizwa na wanyama wakali halaf Napaaa,
Na pia naota vita vita au polisi wanakuja kunikamata zote hizo nikiota ni msoto...
Washatengenezwa kuwa silent kwa hiyo hutosikiwa wana complain suala la zamu yao sasa hv.
Chezeaa watu na strategic zao za kuingia ikulu,!!
Kwa kawaida siku za sikukuu watu wanasheherekea makwao, lakini pasaka ilisheherekewa znz
Uzuri wa sehemu, mtu au kitu unategemea maono, maslahi, mapendekezo na mahitaji yako, ushawishi unachukua nafasi ndogo sana ili uone uzuri ukilinganisha na niliyoyataja hapo juu,
Umeleta uzi huu kama vile unahitaji watu wakushawishi ili uuone uzuri wa mwanza au arusha,
Kila mtu hapa atalisifia...
Ipo case law, ime set precedent kwamba malipo ya wakili yanayolpwa baada ya kesi na kutegemea maamuzi ya kesi hayakubaliki katika sheria zetu za bongo, kesi hiyo ni ya mkono dhidi ya mteja wake mmoja(sikumbuki jina) na pia citation yake sikumbuki uulizia utaipata.
Kipindi cha probation ni miezi 3 lakini kinaweza kurudiwa mara 4 ikitokea mwajiri hajaridhika na utendaji kazi wa mwajiriwa, yaani atamuongezea muda mara ya kwanza, ikitokea hajaridhika tena atamuongezea mara ya pili, hivyo hivyo mpaka mara 4 yaani mwezi wa 12 toka siku ya kuanza kazi.
Katika...
Haina haja hata ya kum call, ukiona hivyo ujue hataki kuwasiliana na ww, aidha hakutaki au kakuchoka au anakukataa, Kwa mfano Mi kuna watu walikuwa ni watu wangu wa karibu sana ilikuwa haipiti nusu saa bila kunitafuta kwa kunipigia au kuni sms, kati yao mmoja ni alikuwa mwanamke wangu ambaye...
Ni kweli kabisa, kwa mfano jamii za kiarabu na kihindi wazazi wanapenda kukaa na watoto wao hata wakioa, mimi binafsi pamoja na kuwa sina uwezo lakini nilitoka nyumbani kwa sababu kuna mazingira flani yalitokea lakini naamini yasingetokea hayo hadi leo na miaka yangu 32 ningekuwa bado nipo nyumbani.
Unachosema ni kweli kabisa, yaani nikiwa naangalia bunge huwa nashindwa kuwaelewa hawa maprofesa, madokta na watu mahiri kwenye taaluma zao kuwa wamelogwa au hawajui au wanafanya makusudiii wanavyoongea vitu hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuoni wakijiandaa hawawezi kuongea hivyoo. halaf...
Unachosema mkuu ni kweli kabisa, watanzania wengi ni kama wana mtindio wa ubongo, wabongo wengi wanafatilia mambo ya kijinga tu, mahaba, umbea, vitu visivyowahusu na mambo ya kijinga kijinga tu, na kundi hili ni kubwa sana ambalo linameza mpaka wasomi ambao nao elimu yao imeshindwa kuwasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.