Search results

  1. J

    Baraza la wawakilishi zanzibar

    Jee munawasikia wawakilishi wetu wanavyokua wakali kuchangia juu ya mfumo wa muungano uliopo sasa? Duh! Ukiwakiliza utadhani leoleo muungano unabadilishwa mfumo wake lakini mbona hakuna dalili za mabadiliko? Tunahisi kama wanatupiga fix wao maisha yana sogea.au mnaonaje nyinyi wenzangu?
Back
Top Bottom