Search results

  1. Eddie8

    Mama Wema Sepetu na kauli za Edward Lowassa!

    ya chadema si waachie chadema
  2. Eddie8

    Rais John Magufuli Afanya Mazungumzo Na Shein Leo Ikulu

    kwa fomu za matokeo ya vituon zilizotolewa na wasimamizi wa Vituo
  3. Eddie8

    Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    sawa misada hatutaki lkn vp kuhusu sisi ndugu zenu wa Zanzibar hamtaki tutoke hapa tulipokwama ?
  4. Eddie8

    Ufisadi Zanzibar (Corruption in Zanzibar)

    hiyo meli imenunuliwa na wizara fedha
  5. Eddie8

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    makamishna walisema hawaku shirikishwa
  6. Eddie8

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    sasa mbona hao wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi hawajaitwa ?
  7. Eddie8

    Tazama uhusiano wa NEC na ZEC

    acha kupotosha ndugu yake mzanzibar ana kadi moja tu ya Zec na ndio anayoitumia kupiga kura ya Zanzibar na Tanzania
  8. Eddie8

    Al Jazeera yarusha Uchaguzi Tanzania

    hili lilitokea Zanzibar limetufanya wa Zenj tuchanganyikiwe . Mwenye kiti wa tume amefuta matokeo , makamishna wa tume wamesema yale si maamuzi ya tume bali ya mtu binafsi .
  9. Eddie8

    Makamba: Tunashangaa ZEC kufuta uchaguzi

    leo nimeelewa Kumbe CCM ni wang'ang'anizi wa madaraka
  10. Eddie8

    Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein

    hadi sasa Zec hawajavuka mstar wanatambaa mule mule mwa maalim ngoja kesho tuone itakuaje
  11. Eddie8

    Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Salum Mwalimu, yupo wapi?

    yupo kamanda anagombea jimbo la kikwajuni kwa sasa anakokoa kokoa CCM waliobakia Zanzibar
  12. Eddie8

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    jiandae na hilo mkuu nyie si muna2penda sana dugu zenu wa damu . Mama wa kizenji ana chukua jahaz hilo
  13. Eddie8

    Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

    nahis kila mmoja ameamua kusafir na nyota yake
  14. Eddie8

    Majimbo Manne Ya Uchaguzi yaongezwa Zanzibar

    Majimbo mapya manne ya uchaguzi yaongezwa Unguja. Tume ya uchaguzi Zanzibar (Zec) imeongeza majimbo ya uchaguzi kwa Zanzibar kutoka 50 hadi 54. Hata hivyo, majimbo yaliyoongezwa ni ya upande wa Unguja wakati Pemba imeendelea kuwa na majimbo 18 kama ilivyokuwa awali. Hatua hiyo ya Zec...
  15. Eddie8

    Chuki za kisiasa Zanzibar zimeimepasua vipande viwili

    upotoshaji mkubwa juu ya Chuki Za kisiasa Zanzibar hakuna chuki kati ya Muunguja na Mpenda Zanzibar . Kwan kwa sasa c aghlabu kukuta mpenda asie husu Unguja na Muunguja asie husu pemba. Ila huenda chuki ikawepo kati ya CCM na CUF wa Zanzibar, CCM mpemba AU muunguja ana mchukia CUF haijalishi...
  16. Eddie8

    Wazanzibar hawautaki muungano, au wameridhika kuongozwa na Watanganyika?

    rais ajaye awaulize Wazanzibar kwa kura ya maoni kuondoa huu ukakasi , ikiwa United kingdom walithubutu kuwauliza Scotland Tanganyika tunahofia nini ?
Back
Top Bottom