Search results

  1. Wamunzengo

    Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    sasa na yeye si angechinja hata Ng'ombe kabisa ili kuwakomesha.
  2. Wamunzengo

    Lema aanika meseji ya Ben Saanane

    Lema bana, sikujua kama huyu jamaa ni slow learner wa ajabu namna hii. Tangu ameanza harakati zake kisiasa, mwanzo kwa kikwete, alikuwa angalau hata nafoka, siku hizi kapoooooaa. Hivi nimuulize Lema na UKAWA wote, mikakati yenu ya kuchukua nchi ipo vipi.? Jipimeni kwa mikakati madhubuti, wakati...
  3. Wamunzengo

    Kwa anayoyapitia RC wa Dar kwa sasa bora angejiuzulu

    Watu mna mawazo ya ajabu sana. Yaani umekaa geto na ki touch au ki pc chako, unajilazimisha kuvuta picha ( ILLUSION ) ya Mchapakazi Paul Christian Makonda, halafu unaifanya REAL (ajabu kabisa). Kisha hayo MALUWELUWE yako kumuhusu Mchapakazi Paul Christian Makonda unayaleta humu eti nao uzi, na...
  4. Wamunzengo

    Mwenye cheti hiki siyo feki

    Kwa hiyo mahakama ilidanganywa.? Kama ilidanganywa, una njia yoyote ya kuisaidia itengue huo uongo.? Kuweni wavumilivu, visabengo wenu Lisu na Boniface Jacob si tayari wameshaenda kwenye sheria.? UKAWA hamnazo kweli, yaani mnadhani kuja kulalamika humu ndo mnapata haki zenu za kisheria. Mbona...
  5. Wamunzengo

    Ronaldo alipimwa dawa za kuongeza nguvu baada ya kutupia hat trick

    Sawa Mwanaspot, nimeiona. Thanks.
  6. Wamunzengo

    Ronaldo alipimwa dawa za kuongeza nguvu baada ya kutupia hat trick

    Hii taarifa mbona huko Goal.com haipo.? Unazingua men.
  7. Wamunzengo

    Tanganyika Law Society kumburuza mahakamani RC Makonda

    Tena mvamizi ana kiherehere ile mbaya. Nadhani hakuwahi kuwaza siku moja atakuwa " Rais ". Kachangamka utadhani kakamuliwa maji ya ndimu mdomoni. ha ha haaa.! " eti kipindi kile tu kachaguliwa anataka kuonana na Rais mwenzie, yaani nilicheka mpaka basi.
  8. Wamunzengo

    Eti Raisi wetu hashauriki, eboo!

    Wape za uso mwa'ngu, wape wape mpaka wavimbiane mimacho wasione kabisa.! ha ha haaa.! yaani kuna vidude vinajifanya vinajua kushauri wakati hata udiwani tu hakijawahi kugombea. Mbowe aliposhauriwa na CCM kuhusu kumsajiri fisadi Lowasa a.k.a oil chafu, kwa majigambo alisema hivi " ukiona CCM...
  9. Wamunzengo

    Tanganyika Law Society kumburuza mahakamani RC Makonda

    Mi naitwa Salim Juma Magole, katika hali ya kwaida tu shuleni alikuwepo Salim Juma Magole. Basi shule wakawa wanatutofautisha kwa mimi kuitwa Salim na mwenzangu wakawa wanamwita Juma. Kufanana majina sidhani kama ni dhambi, sasa mi nashangaa eti Paul Christian Makonda analazimishwa awepo mmoja...
  10. Wamunzengo

    Kenyan most intelligent an eloquent man Prof. Lumumba praised Magufuli wetu!

    Kama ndio hivyo, basi kazi ipo. Yaani una unakuwa na options 4 za kufanya jambo, 3 zinaruhusiwa 1 inazuiliwa, unaamua kususa au kuacha kulifanya hilo jambo halaf kichwani mwako unaamini kabisa hilo jambo lina manufaa kwa jamii. Unakaa nalo tu moyoni, kisa umeruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara...
  11. Wamunzengo

    Kenyan most intelligent an eloquent man Prof. Lumumba praised Magufuli wetu!

    Kiongozi kwani kuchambua ni mpaka mwanasiasa apande jukwaani. Mbona kuna mikutano ya ndani wameruhusiwa, hiyo haimtoshi mwanasiasa kuchambua.? Mbona wameruhusiwa kufanya mikutano kila mbunge kwenye jimbo lake, mf. Lema, Nape, je, hiyo haitoshi kuchambua.? Mbona hata bungeni wanaongea vitu vya...
  12. Wamunzengo

    Magufuli is confused big time! Sikiliza

    Ha ha haaa.! kamanda naona umeamua kukomalia JPM, komaa bana, huenda ukafikia lengo. wanasema ukirudia rudia mwishowe utaweza tu.
  13. Wamunzengo

    Hivi Rais Magufuli umekumbwa na nini?

    Duh.! Mi nilijua baada ya kutapika nyongo, utatoa slolution. Kumbe na we ni wa kulia lia tu. mi binafsi sipendi mtu wa kulialia hapa dunia, kama ni hukumu ya Mungu subiri utaenda ukalie kwa Mungu huko siku ya kiama. Vyovyote itakavyokuwa, sijui hata kama una ushahidi naona ni story zilezile...
  14. Wamunzengo

    Hivi Rais Magufuli umekumbwa na nini?

    Duh.! Kamanda upo nondo ile mbaya aisee, hadi ushahidi unao..?? Sasa kwa nini usiende polisi au mahakamani hili jambazi likamatwe likafungwe.? Yaani una ushahidi wa jambazi, halafu unauleta humu..??
  15. Wamunzengo

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Halaf kumbe hata mwaka hujamaliza aisee, samahani nadhani nitakuwa nimekuonea aisee.! sio kosa lako, ni umri ulionao. NISAMEHE AISEE.
  16. Wamunzengo

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Asante mi sitakuongezea neno lingine zaidi ya kukuambia ulikuwa chizi wa muda ulivyong'ang'ania hicho kihoja chako cha "walioghushi vyeti" Chizi sio tusi, ni sifa ambayo nimekupa na nimekuongezea vitu hapo ujifunze. Hayo maneno " mazuri " mengine uliyoniongezea hata maana yake siijui, ila...
  17. Wamunzengo

    Vyombo vya habari vya nje: Tanzania wana maisha MAGUMU

    Mbona hii story ushahidi wote ni siri..?? Mbona mimi hawajaniuliza.? haina attachment yoyote, Chombo gani, Nchi gani.?
  18. Wamunzengo

    Tanzania haimo katika orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa wasomi duniani

    ha ha haaa.! najua mnajua umuhimu wa elimu, ingawa mnatania. Tatizo ni pale utakapopigwa chini Ubunge na Uwazir, ndio utajua kumbe umuhimu wa kusoma upo pale pale. Wakati mwingine ili kufikia uwaziri au ubunge ni lazima uonekane utendaji wako wa kazi kwenye sekta zingine zinazohitaji elimu...
  19. Wamunzengo

    Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

    Dah.! jamani mmeamua kuwalisha matapishi yao hawa jamaa sio, maana walitapikaga mbaya, mwisho wa siku Rubani "hodari" jemedari wao aliyewashikia akili zao, DJ, mpiga dili maarufu a.k.a M.bowe, alipobadilisha tu gia hewani wote wakaanza kuyala tena matapishi yao wao wenyewe. Duh.! kuna watu...
  20. Wamunzengo

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Kamanda, wakati mwingine hutokea hata wafungwa wanasamehewa. Rais kaamua hivyo tuheshimu maamuzi yake, anayo mamlaka hayo. Jela nako sio kuzuri sana wakati mwingine kamanda. ha ha haaaa.!
Back
Top Bottom