Search results

  1. L

    Msaada tafadhali

    Habari wana jamvi. Jamani naombeni msaada kwa mwenye uelewa, nahitaji kufuga kuku wa mayai ila eneo ninalotaka kufugia umeme bado haujafika, je naweza kutumia nishati gani mbadala. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Back
Top Bottom