mhh ,minjemba hii hata haya hawana ,hao wote watatu wa wawizi inakuwaje?.kwa nini tusimwambie mwenye mzigo wake unamalizwa.Ahh lakini ya nini we acha tunyamaze tu, maana ufisadi wa huyo mwenye mzigo wake naye hatuujui labda na yeye ana play boy wake maana hawa wenzetu kwa sababu ya mihela ya...
HEY hivyo mpaka leo bado hujajua kuwa hicho chama unachosema chama chenu, wewe hujulikani na wala huwezi kulinda hata choo. hicho ni chama cha mafisadi,na ndio kazi anayoifanya mr mbowe kuwafungua macho raia kama wewe mnaoshabikia kwa kufuata rangi za bendera,pole sana chama hicho unachodai ni...
tusipoteze muda wetu kujadiliana kuhusu hayo mambo muhimu,kama ulivyoyaweka katika jf, kwasababu huyo ambaye unamfikiria yupo na wewe katika hayo,nakusikitikia kuwa huyo JK YUPO NA SERA ZA C C M, ( C hukua C hako M apema) nia vyema tukae na kujadilina kuwa ni kwa nini nchi hii ina vyanzo vingi...
HEEEEEEEY STOP,SASA MTASHIKA WATU PABAYA,UKISIKIA UTAMU NDIO HUU,YAANI MPAKA INACHEKESHA, MAKOSA YETU WENYEWE WATANZANIA,TUMEFUGA CHUI KATIKA ZIZI LA MBUZI,KITAKACHOTOKEA NI KIAMA CHA MBUZI.
Sasa mwajamani wale jama ze comedy hawana tabu ya kutafuta habari,na sisi kwa sasa naona tukinyamaza...
waswahili wanasema,mpe mtoto wako mchawi amlee, waswahili wameenda mbali sana, hata ulinzi wa mali mpe mwizi ulinzi wa mali hiyo. hapo sasa ndipo utakapoona kumbe viongozi wanaostahili ni hawa.
Rais ni E L
MAKAMU WA RAIS KARAMAGI
WAZIRI MKUU BWM
WAZIRI WA HELA FT SUMAYE...
mh! teh teh teh, wanamaneno hawa jamaa,utahadhani kweli vile, nilivyokwisha wazoea lazima awe na sifa hizi kuwa kiongozi wa ccm, kulindana, kuficha ukweli,kuogopa ukweli,na unafiki.......kama ni mkweli atujibu yeye maana mh jk kashindwa kumrudisha balali,yeye asituletee balali ila amtaje...
BWM - LAMADA ILIYOPO ILALA
-MRADI WA KIWILA (TANESCO ITALIPA MILLIONI300 KILA SIKU
UKIWA TAYARI.
- HOTELI YA NYOTA 3 AFRIKA KUSINI.
-NYUMBA YA KIFAHARI LUSHOTO.
- MAMILIONI YA DOLA KATIKA MABENKI YA NJE.
- MALORY YA MIZIGO YASIOPUNGUA 20 (SCANIA 124 MODEL @...
Watanzania wenzangu,samahani sana kama haya maswali yangu yatawaudhi,na hasa nyie mnaotumia kijiwe hiki,naomba majibu mazuri ili mpate faida ninayotaka kuwapa,katika maoni yangu,kwani nipo makini na haya matukio yanayotia aibu kwa nchi yetu, na huku viongozi wetu wakiitana mashujaa kwa ufisadi...
Mafisadi wote wanajulikana sehemu walipo,mmoja yupo Kenya,anaomba hifadhi,wengi waliobakia wapo hapa hapa Tanzania yetu,wengine walipotelea Marekani kwenda kusomea digrii ya ufisadi na wamerudi kusubiri zamu yao,wamekuwa kama Tai walioona mzoga hawachezi mbali na Tanzania yetu,maana haina...
NI KWELIII, Sioni ajabu, kwa mkuu wetu, kwasababu bila kupitia huko hujaumbika,Kwani ana uzee gani hapo alipo, ukiacha alipokuwa waziri wa mambo ya nje, mwacheni kama kutumia ni haki yake,tunashukuru mungu viongozi wetu wote ni safi, kwani hawaibi ila wanachukua, mwenyezi mungu awape maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.