Badungu
naomba mniwie radhi lakini sitaki kuwa mnafiki ukweli ni kwamba sijaona huzuni yoyote katika moyo wangu kwa kifo cha huyu bwana (kama kweli amekufa) hasa ukutilia maanani kuna watoto wadogo wengi hapa TZ ambao hawana hata doa la dhambi wanakufa kwa huduma duni za afya na umasikini...
WT na tushukuru mungu kwamba ile list ya MAFISADI inapungua hongera JF uzi uwe huo huo lakini pia tuwe na mikakati ya nani afuatie baada ya Chenge. Mi nadhani wa kufuatia sasa ni huyu bosi wa PCB Mr Hosea, anahitaji na yeye kuachia ngazi vile vile
pakachaaaa
Acha kuleta ukereketwa pahala ambapo haustahiki. unataka kuniambia kwamba Pemba hali ni nzuri au mwenzetu uko nje ya TZ hujatembelea visiwanimuda mrefu..
hongereni ngudu zetu wa Dodoma, sisi sote tuko pamoja nanyi...huu ni mwanzo wa mwisho wa MAFISADI wote wa CCM, na CCM yao wachukuwe wenyewe sisi hatuitaki tena.........
Nadhani sio haki kuwaachia wapinzani peke yao kueleza mabaya ya MAFISADI hawa waliotuzunguka. Ni wajibu wetu sisi waTZ kusimama kidete kuikomboa nchi yetu.
Saa ya ukumbozi inakaribia kwa TZ na ni sisi watanzania ndio tutakaoifanya saa hiyo itufikie kwa haraka.. jamani ni lazima tujuwe kwamba...
sio kama zanzibar hakuna watu wenye ujuzi, lakini tatizo la ZNZ siasa mbele, mara nyingi wanachaguliwa watu kwa utashi wa kisiasa wewe tizama baraza letu la wawakilishi (CCM) aibu tupu wawakilishi wanashindwa hata kujieleza , tunadhalilika sana ZNZ kwa upuuzi huu wa kila kitu siasa mbele...
Hivi huyu Chenge amepata wapi kiburi cha kuita Sh. Bilioni moja visenti ??
Kama kuna mtu anaweza kupata taarifa ya mali zake alizoorodhesha ni vizuri akazimwaga hapa uwanjani ili tuone kama na hivyo visenti viliorozeshwa hapo kabla
nakubaliana na wewe idea ni nzuri lakini tunahitaji tuwe na mikakati zaidi labda nadhani kwa wale walio Dar wafanye mpango kuandaliwe kipindi katika ITV/TVT kiwahusishe wazazi na watoto Maalbino halafu hii ishu ya kuanzisha huo mfuko itaje hapo...nadhani hii inaweza kusaidia
Wapendwa ndugu zangu waTZ
Sote tukiwa kama wapenda amani na tunaitakia mema nchi yetu tumesikitishwa sana na maamuzi ya CCM juu ya muafaka wa kisiasa visiwani Zanzibar. Binafsi nimesikitishwa zaidi kwa kujua kwamba hali ya amani huko visiwani hivi sasa iko mashakani.
Mimi ni mmoja kati ya...
Mtu wa Pwani
Sijui una maana gani unaposema wenzetu wa bara hawatutakii mema, ukumbuke kwamba tarizo la Zanzibar ni wenyewe watu wa CCM (Unguja) ndio wanalikwamisha na sio watu wa bara hata hao so called "Wazanzibara" huwa mara nyingi wanakuwa muhimu wakati wa CCM (Unguja) kutafuta kura...
Shy
hujui unachozungumza. kasumba iliyopo juu ya kuwa CUF ni waarabu ni uzushi tu wa CCM. Na kwa kweli tumechoshwa na hawa CCM, nyiyi mnazungumza ufisadi wa bara lakini huko visiwani ndo wamezidi. Mimi si si mtetezi wa CUF.... nadhani watakuja wenyewe kusema, lakini kama mtanzania mwenye upenzi...
thanks MMwanakijiji. Bwana akubariki milele na milele, amen
Naomba tu nikupongeze kwa hayo uliyoyaandika hapo juu na kutilia mkazo baadhi ya uliyoyasema.
You are right kwamba changamoto inayotukabili si tu kuibua dosari na kukemea matatizo mbali mbali yanayotokea katika nchi yetu, nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.