Search results

  1. M

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    Kila mara yanapojiri maswala mazito ya kitaifa kama hili la udini sasa; viongozi wote wa vyama vya siasa wangefanyiwa mdahalo wa kitaifa wa pamoja ili waeleze nini sera na mapendekezo ya vyama yao (kila chama) katika kukabiliana na uzito wa swala liwalo. Hapo tunaweza kuelewa chama kipi...
  2. M

    Naombeni tafsiri ya Kiswahili ya neno 'Stationery'

    'Sarijala' nalisikia leo. Naelewa kuna 'masijala' na kwa vile si mwana isimu sintokukanusha ila nahisi utakua umepatia. Nakupongeza.
  3. M

    Kigwangala, iwe ni kweli au si kweli, umejidhalilisha

    CCM waseme kuhusu afya ya Baba Lao, mbona kashaanguka hadharani mara kibao lakini anacheka cheka tu?. Leteni hoja Binafsi kuhusu afya za wabunge chama tawala na wabunge wa upinzani. Wekeni hadharani nyodo zenu wabunge. Leteni hoja binafsi kuhusu mawaziri na marais walioenda Loliondo kwa Babu...
  4. M

    CHADEMA Dodoma kumburuta Rage mahakamani

    Rage au Rege? Bangi tupu. Kiboko yake Mzee Kapuya na yule Mzee Ndolanga. Tatizo la wajelajela ndio hilo kwani Nchimbi katuambia 40% ya walioonja jela hupenda kurudi jela. Rage Mjela-jela.
  5. M

    Kikwete amsafisha Chenge; Asema Hakuna Rushwa Kwenye Kashfa ya Rada

    Takukuru ni taasisi ya kuzuia kupambana na rushwa na si vinginevyo. Kuhusu kuikana rushwa ya rada kwanza kabisa kikwete haoni soo kudanganya kama mnabisha basi naamini kabisa kuwa kuna siku atakuja kukataa kuwa aliwahi kuwa rais wa tanzania na atatoa vielelezo. Pili kikwete ni mwoga kama...
  6. M

    Mwanahalisi fanya yafuatayo

    Mwanahalisi mjue tunaopenda ukombozi wa fikra tunataabika kuwakosa fanyeni kila linalowezekana tusiwakose. Serikali mnajidangaya kulifungia Mwanahalisi ni sawa na kulifunika jua kwa kuchoma moshi, Lakini Satelaiti mtazifungia?.
  7. M

    How to use JamiiForums effectively

    Thank you for registration and am quite happy to be part of this great thinkers realm. I like it.
Back
Top Bottom