Search results

  1. sausage

    Jinsi wanawake waliopo kwenye ndoa wanavyotafuta mke wa familia bila kujua

    Nadhani mume pia anatakiwa kulaumiwa I mean unakuwaje mpumbavu /mpuuzi mpaka unakubali kuvunja ndoa yako kwa kisingizio cha housegirl?!!! So stupid alafu unakuta mwanaume anafurahia kabisa kwamba house girl ndo chanzo cha ndoa yake kuvunjika.. Wanawake wana case chache sana za kutoka na...
  2. sausage

    Jinsi wanawake waliopo kwenye ndoa wanavyotafuta mke wa familia bila kujua

    Ifike mahali pia wanaume wakiafrika wajue mipaka Kati ya wasaidizi wa kazi za ndani na mke (mother house ) housegirl ameletwa kwa ajili ya kufanya shughuli za ndani /nyumbani ndo kilichomleta pale nothing else hizi tabia za baadhi ya wanaume kutembea na mahousegirl eti kwasababu anakufulia...
  3. sausage

    Mama Kilango Malecela alitumbuliwa haraka sana, ila Makonda mmmmh

    Hivi hao wananchi wa Dar wanashindwa kuandamana kumpinga mkuu wa mkoa? Nadhani ni haki yao kikatiba kukataa kuongozwa na mtu ambaye wanamashaka nae
  4. sausage

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    R. I. P mtikila, Ila hii ajali duh 😢 mbona hana jeraha lolote duh mwili unaonekana haujaumia popote labda alikufa kwa mshituko
  5. sausage

    Dr. Slaa hakuna kama wewe

    Sikuwahi kudhani kama Slaa alikuwa ni mpinzani wa kweli Ila kwa haya yanayotokea sasa naamin Slaa ndiye mpinzani wa kweli CHADEMA na alikuwa anapambana kuhakikisha wanafika hata kama Wangechelewa, tofauti na Mbowe ambaye anaangalia hot opportunity hata kama ni short term hajali madhara na wala...
  6. sausage

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mpaka kufika September Lowasa atabaki na chama chake peke yake. Ukweli Destiny inamuhold back Lowasa will never become a president iwe nikupitia CCM, CHADEMA, UKAWA ama hata aende nchi za jiran Kwa wenye kuelewa na kujua maana ya destiny huwa hawatumii nguvu nyingi kupambana nayo. Let's wait...
  7. sausage

    Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

    I think this is the best kwa CHADEMA kuhandover kwa Lowasa kwa sasa anayeendesha chama na tumaini lao ni Lowasa why not kindly handover him, kwanza hamwezi kupambana na CCM hata mkiunganisha vyama vyote vya upinzani nchini so easy and simple mwacheni Lowasa ajipigie campaign mwenyewe kutokana na...
  8. sausage

    CHADEMA, UKAWA, muacheni Lowassa aongoze kampeni yake

    Hatimae yatatimia CHADEMA handover kwa Lowasa chama ni chake kwasasa mkubali mkatae chama ni cha Lowasa. Ndo maana hata kampeni zake yuko tayari kufanya mwenyewe nyie kaeni kando msimvuruge coz huo mtaji alionao CHADEMA hamwezi kuwa nao hata mkiunganisha vyama vyote vya upinzani nchini bado...
  9. sausage

    Dr. Slaa, Josephine, Mwanakijiji et al: Hii Meli ya CHADEMA/UKAWA Tayari Inaondoka, Uamuzi ni Wenu

    Kinachoendelea kwasasa Team Lowasa wanampiga vita Dr Slaa juu chini ili aonekane haifai na hataki MABADILIKO wanasahau hicho ndo kilichowakimbiza CCM. Lowasa na team yake lengo lao ni moja kuupata Uraisi iwe kupitia CHADEMA, CUF ama NCCR ama hata akiambiwa arudi CCM atapewa Uraisi yuko tayari...
  10. sausage

    Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

    Nashangaa CHADEMA inavyosema haitaki kuongozwa na CCM wakati mgombea Uraisi wanaemtegemea na tumaini lao ni kutoka CCM na bado wanakuja wengi kutoka CCM. Hii ngoma CHADEMA wanayoicheza na kujiaminisha ni wajanja wamechemsha na wataendelea kutawaliwa na CCM ndani na nje ya chama Chao
  11. sausage

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Lowasa akiingia ikulu awapigisha kwata ukawa na CHADEMA yote coz anagroup kubwa la viongozi wa CCM ambao ni marafiki zake wako nyuma yake na Lowasa akishinda tu lazima wote watangaze kuhamia CHADEMA lazima awape vyeo wote kabla ya CHADEMA/ukawa hapo ndo utaona CHADEMA wanajikaanga kwa mafuta yao...
  12. sausage

    Swali kwa CHADEMA: Tuko Tayari Kumpokea Lowassa na Kumpoteza Slaa?

    To be honest Lowasa ni bora kuliko Slaa Uraisi unamkwepa sana Slaa bora tu amwachie Mr white
  13. sausage

    Mapokezi ya Wema tishio

    Watu wanamsema Wema na kupoint fingers kwakwe hii ni kwakuwa tu mabaya yake yanajulikana lakini tujiulize kwenye familia zetu baba zetu, mama zetu,kakazetu,dada zetu na wote waliotuzunguka je hamna wanaomzidi wema kwa mabaya? Wengine hapa wakifunuliwa ni wachawi waizi, wauwaji na mengine mengi...
  14. sausage

    Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

    Kama kuna kitu kinachowaangusha ni siasa za fitina na kwa hili itawachukua mda mrefu sana kusonga mbele coz wananchi wameshagundua. Yaani I wish CHADEMA ingesimamia misingi ya uchapakazi na uwajibikaji na pia kuonyesha wananchi ni kipi wamefanyia hii nchi na ni kipi wataenda kukifanya ikiwa...
  15. sausage

    Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

    Hongera 👏 👏 👏 👏 Alikiba that what we want to hear kutoka kwa wasanii wetu
  16. sausage

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Kuna kitu wengi hawajaelewa mziki bila mashabiki kukupigia kura ni bure hata kama unaimba kama kasuku. Majaji hawawezi kuamua kukupa tuzo ikiwa mashabiki hawajaikubali kazi yako (hawaja kupigia kura) hiyo ndo sababu ya kupanda na kushuka ghafla kwenye tuzo.kama hajafuniwa kura za kutosha it...
  17. sausage

    Clouds Media ni media ya kinafiki sana

    Mi naona clouds inafanya kazi nzuri kwakuwa haipromoti msanii mmoja forever na hii ndo inavyotakiwa kila mtu apewe nafac ajaribu kwa uwezo wake. Tujifunze hata kwa wanaigeria c msanii mmoja anayejulikana kimataifa Ila wanasuport wote wenye kuonyesha nia na uwezo
  18. sausage

    Clouds Media ni media ya kinafiki sana

    Mi naona clouds inafanya kazi kwakuwa haipromoti msanii mmoja forever na hii ndo inavyotakiwa kila mtu apewe nafac ajaribu kwa uwezo wake. Tujifunze hata kwa wanaigeria c msanii mmoja anayejulikana kimataifa Ila wanasuport wote wenye kuonyesha nia na uwezo
  19. sausage

    Clouds Media ni media ya kinafiki sana

    Mh! Watanzania wengi ni wabinafsi na ndo maana taifa let halifanikiwi kuwa na watu mbali mbali wenye vipaji Kwasababu mnataka mtu mmoja tu ndo aiwakilishe nchi milele na akitokea mwingine atakae onyesha nia kwamba anaweza basi huyo ni HATER. Mafanikio hawawezi kuletwa na mtu mmoja ni vema...
  20. sausage

    Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

    Hahaha wabongo kwakuthamini vya nje hatujambo,kwao hata hawamtambui, hao mnaowasifia ndo kwanza hata hawana time na sis hata ukienda kwao wanakuona kama omba omba, sasa hivi mtabeba mtapetipet Ila cku akiwageuka na kuwatolea maneno ya dharau mtaona wenyewe mtavyoanza kumshambulia kama nyumbu...
Back
Top Bottom