Search results

  1. J

    Natafuta mwenza (mme)

    Ki ukweli nitakuwa mwaminifu sana kwa hili na nitawajulisha.
  2. J

    Natafuta mwenza (mme)

    Hapana jukwaani nitaendelea kuwepo wapendwa wangu, baba hajanikataza kuendelea kuwepo hapa kabisa.
  3. J

    Muuaji wa Mwangosi afukuzwa kazi,IGP Mwema atua Iringa leo kwa Chopa

    Kaunga umenena, ila mimi nalia na watu hawa wa3 1.IGP, 2.RPC, 3. Waziri Nchimbi (kwa kauli zake tata)wote walitakiwa wawe nje saa hii, pamoja na Kufunguliwa mashitaka ya mauaji.
  4. J

    Natafuta mwenza (mme)

    Wapendwa hodi tena, nimerudi kuwashukuru wote mliochangia mada yangu hii ya kumtafuta mwenza. Imekuwa ni ajabu na kweli, yaani kama utani vile ila namshukuru Mungu. Wengi waliona natania lakini kiukweli nimepata mume humuhumu JF. Kilichonishangaza ni kwamba amekuwa muwazi sana...
  5. J

    Natafuta mwenza (mme)

    Am looking for a husband, Sifa: mwembamba kiasi, mrefu, awe msomi at list first degree, independent mind, caring, mwaminifu, charming, mwenye hofu ya Mungu, christian, smart in everything, mwelewa, gud thinking capacity(IQ), miaka 30 - 45, wa kawaida sio mbaya sana awe mzuri kiasi chake, awe...
  6. J

    hello!!

    Hodi, hodi...... mmmm jamani mbona kimya???? wenyewe mpooo, mmhh! au niondoke mbona sikaribishwi? au hamtaki wageni? Mmm basi naondoka isiwe taabu jamani maana nasikia sauti za watu ndani but sikaribiswi.
Back
Top Bottom