Search results

  1. MpangoA

    Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    Askofu Kulola namchukulia kama mtumishi wa Mungu wa kweli. Ameanza kuhubiri injili miaka mingi sana, mimi binafsi nimeanza kumsikia kuanzia miaka ya 1980. Angekuwa na tamaa ya pesa, angekufa tajiri sana kuliko hawa tunaowaona. Mtumishi Kulola, umepigana vita vema na umeshinda. Mungu akurehemu!
  2. MpangoA

    Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

    Nani kakuambia Assad ametumia gesi dhidi ya wananchi wake? UN wanafanya uchunguzi na viashiria ni kwamba hao rebels ndio wametumia hizo silaha za sumu. Ebu tuelimike tuache kuwa watumwa wa Magharibi. Wewe unaona ni haki Marekani na Uingereza kuwafadhiri waasi? Hivi Tanzania tumeenda DR Congo...
  3. MpangoA

    Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

    Tatizo unalinganisha nchi moja na kundi la nchi mbalimbali. Russia ni nchi moja, hao western unaosema ni UK, USA na France; sasa unamuingiza na Israel. Naamini Russia akiungana na Iran na China tu, hao Western lazima waamshe mikono juu. Hakuna vita Marekani anapigana peke yake hata kama ni ka...
  4. MpangoA

    Je, ni busara serikali kuipatia pesa Precision Air?

    TZS 51 billion?? Someone to give me the breakdown. Hii ya PW kuwa bailed sikubaliani kabisa. Hiyo bail out ni njia tu ya ulaji, Pesa hizo ni nyingi sana.
  5. MpangoA

    Mwanaume: Kama unataka kupafomu vizuri kunako 6x6, basi tembea maili mbili kila siku….!

    Maili mbili ni sawa na kilometa 3.2. Sio ndogo madame. Kwa wanaojua kutembea, ni mwendo wa dakika 45+
  6. MpangoA

    Video: Rwandese and Congolese Community in UK Oppose the Coming of Paul Kagame at Oxford University

    I am not sure if this news was once aired! President Paul Kagame shocked by Oxford Demonstrators who threw Manure and Eggs at himMay 19, 2013 by Rwema IT Webmaster By: Noble Marara While attending Rwanda day in London President Kagame stated that those who threw manure and eggs at Oxford...
  7. MpangoA

    Haya ya s.h. Amon hayakubaliki kabisa;mungu aingilie kati

    Duh! Mwaka wa uzi sikuangalia. Lakini kuhusu kiinua mgongo, ninayosema ndio hivyo kwa kadiri ya Employment and Labour Relations Act. Kama unahoja tofauti, nipe kipengele cha kiinua mgomgo kwenye hiyo sheria tujadili.
  8. MpangoA

    Haya ya s.h. Amon hayakubaliki kabisa;mungu aingilie kati

    Tanzania kwenye sekta binafsi kitu kinachoitwa kiinua mgongo ni juu ya mkataba wako na mwajiri. Sheria ya kazi haina kipengele cha kiinua mgongo, hivyo ukifukuzwa au kuachishwa kazi itategemeana na mkataba wako wa kazi unasemaje, kinyume na hapo ni busara tu ya mwajiri wako. Mikataba mingi ya...
  9. MpangoA

    Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    Unapotoa sadaka kanisani au msikitini unaulizwa chanzo? Inaonekana wewe umeshiba pesa!!
  10. MpangoA

    Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    Watu bwana! Bwana Cheyo alisema atawajaza watu mapesa watu wakauliza atawezaje? Leo jamaa anagawana mali zake na maskini watu wanatia shaka. Ebu chukueni hiyo pesa. Wangapi wana ela za ufisadi hata shilingi yao haisaidii jamii? Ninachomsifu huyu bwana hata kama simjui ni tenda wema, nenda...
  11. MpangoA

    Meno ya Tembo yakamatwa Uwanja wa ndege Dar...

    Sasa kamanda anajipiga picha yeye baada ya kutuonyesha mhusika!! Ama kweli dhambi ni uharifu mdogo, angekuwa muiba kuku, aha picha zingejaa ukulasa mzima.
  12. MpangoA

    Waziri wa zamani (Kilontsi Mporogomyi) sasa kumtumikia Mungu kama Askofu Mkuu!

    Mgonjwa anamuombea mgonjwa...hapa sijaelewa!
  13. MpangoA

    What Netanyahu and Kagame have in common

    Nilidhani hii inafaa kwenda International Forum, mods.
  14. MpangoA

    Jibu la mugabe kwa mwandishi wa uingereza..

    Kwani Mugabe hana watendaji? Israel inatawaliwa na Rais mwenye miaka 90 Simon Peres, amekuwa serikalini toka ana miaka 29, mbona Uingereza na Marekani kimya na ni nchi washirika wa Israel? Queen ni mtu mkubwa kwa waingereza useme tu dunia imepumbazwa. Leo hii Scotland wanataka kujitenga kutoka...
  15. MpangoA

    Rwandan media propaganda about "illegal immigrant" sacked from Tz!

    Poor propaganda..watu washazoea kutumia kubaka kama kinga ya utetezi. Haramu ni haramu tu haijalishi umefanya uharamu kwa muda gani. Yaani watanzania waliacha kuwabaka wanyarwanda wakati mnashida, mnauana wenyewe kwa wenyewe ndo waje wawabake leo?
  16. MpangoA

    Mtazamo: Mashambulizi ya "kigaidi" ya ulipizaji visasi sasa tuyatarajie kwa vigogo na polisi

    Hii thread ningeshauri mods waifute. Sheikh Ponda sio kiongozi wa dini wa kwanza kupatwa na dhahama. Kuna Sheikh alimwagiwa tindikali, mapadri wawili walipigwa risasi mmoja akafa papo hapo, mchungaji alichinjwa kaka kuku mbona tumeendelea kuishi. Huyu mtoa mada analake jambo, kuendeleza chuki...
  17. MpangoA

    Chunguza video hizi zinazotoa taswira za biashara ya madawa ya kulevya

    Huyu Mohamed Ali anastahili nishani (Award). Kwa kweli hana mpinzani, sisi hapa Tanzania waandishi wa habari za uchunguzi wanamwagiwa tindikali na kufungia kazi zao - Said Kubenea, MwanaHalisi.
  18. MpangoA

    Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

    Hawa wanayarwanda hiyo habari ya Balozi wao wameiondoa kwenye mtandao wa hilo gazeti la The New Times. Halafu kuna habari nyingine ya wanyarwanda kufukuzwa Tanzania, comments zote ziko biased, ukiweka comment ya kubalance story hairushwi hewani. Nimejaribu mara mbili comments zangu zijaziona...
  19. MpangoA

    Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

    Huyu Balozi wa Rwanda nchini Tanzania ameongea vema sana. "However, Rwanda's High Commissioner to Tanzania Benjamin Rugangazi said most of the Rwandans repatriating might have been illegally living in Tanzania's Kagera region, where government is conducting a major crackdown on illegal...
Back
Top Bottom