Search results

  1. M

    Tunaomba Mkuu wa Wilaya ya Rombo na Mkurugenzi wa Wilaya ya Rombo Muokoe Jahazi

    Mbunge wetu ni bingwa wa kuhudhuria mazishi na ni lazima akikishe umma umetambua uwepo wake
  2. M

    Jipu la ulevi Rombo sasa kutumbuliwa

    Kwa mwendo huu wa JPM hakuna shaka kuwa ulevi Rombo sasa unachungulia kaburi. Huku vijana hawachezi pool asubuhi bali wanaanza kunywa pombe asubuhi. Kila duka rombo ni LAZIMA kuwe na pombe hata kama ni duka la viatu au vitabu. Hakuna cha baa wala grosari kwani vijana wanabeba pombe za kwenye...
  3. M

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Kama safari moja ya Ulaya aliyofuta Mheshimiwa Rais na Sherehe ya kupongezana ameweza kuokoa milioni 900 ndani ya wiki moja ni kwa nini watoto wasisome bure? au madawa yakosekane hospitali? Naomba aangalie na maeneo mengine mfano magari kwenye mawizara na taasisi za serikali ni mengi mno na ndio...
  4. M

    Msaada: Namna ya kujitoa Simu Tv kwenye simu yangu

    Wadau naomba mwenye kujua namna ya kujitoa simu tv kwenywe android yangu kwani siitumii na inakata tu hela yangu kila siku.
  5. M

    Magufuli yupo wapi

    Jamani muogopeni Mungu nyie watu. Kutokuonekana JPM leo tu imekuwa nongwa? hata akipumzika jumapili mnataka hadi muambiwe? ngojeni kesho muone!
  6. M

    Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Huyu nyoka namfahamu mkuu ndie yule aliyewazingua adam na hawa pale bustanini hadi wakala lile tunda!
  7. M

    Serikali iangalie wizi huu wa NMB

    Ndugu wadau, kwa watumiaji wa NMB mobile ni majanga matupu. Mathalani unapoulizia salio lako, unapolipia luku,au unaponunua muda wa maongezi, unapothibitisha kwa kuingiza '0' basi unaletewa kitu kimeandikwa EXTERNAL APPLICATION DOWN. Maana yake ni kuwa zoezi limeshindikana lakini hela yako...
  8. M

    Mahakama ya ICC yaagiza Afrika Kusini imkamate na kumkabidhi Bashir

    Ebu wamuache Bashir wa watu! Oneni yanayotokea Iraq baada ya kuondoka Saddam na pia yanayotokea Libya baada ya kuondoka Qadaffi. Na sudan itakuwa hivyo hivyo. Madikteta wana sehemu yao. mbona ISIL watashangilia?
  9. M

    Msaada kuhusu shirika la bima NIC

    Wadau mimi ni mtumishi wa serikali na nilikata bima ya miaka 9 na NIC.Bima yangu ilishaiva tangu August mwaka jana na sasa ni miezi 10 hawa jamaa hawanilipi hela yangu! Kila nikienda kwenye ofisi zao naambiwa njoo wiki ijayo. Je ni hatua gani naweza kuwachukulia haawa jamaa? Asanteni
  10. M

    Nahitaji Bata Bukini

    Heshima kwenu. Nahitaji kufuga bata bukini naomba alie nao tuwasiliane.
  11. M

    Utata kwenye kodi za magari

    Nissan datsun ya mizigo ni pickup au lori kubwa mkuu?
  12. M

    Chuo kipi Tanzania walimu wanalipwa vizuri zaidi kuliko vyuo vingine?

    IMTU university wanalipa vizuri hadi unawarudishia change!
  13. M

    Namtafuta nduki

    Hizo ni SHISHA + VIROBA zinaongea
  14. M

    Namtafuta nduki

    Waheshimiwa namtafuta Bw NDUKI ni kutafuta msaada fulani please ani PM gongwej@yahoo.com
  15. M

    Hali ya ukungu waanza onekana Dar

    Dar juu ukungu chini dengu.
  16. M

    Altezza inauzwa model 2001.

    Naona kitu imetuliaa hasa kwa nje nadhani wamesugua na stili waya!
  17. M

    Msaada: Kusafiri kutoka Tanzania hadi Ghana-Border kwa border

    Tena mpaka ufike lagos Boko Haram tayari watakuwa na habari zako
  18. M

    Dege Kubwa latua KIA

    Hilo dege ni klubwa kama hili? http:/com/bineb http://xqnbineb http:/bineb h
Back
Top Bottom