Search results

  1. M

    Al-Kasusi au Al-Kasusu ni kinywaji gani? Kinasaidia nini mwilini?

    Jamani mwili wangu ilikuwa unauma katibu wiki nasumbuliwq na maumivu ya nyonga na shingo nimekunywa jana Leo asubuhi nimeamkia chooni nimeharisha maumivu yote yameisha na mwili umechangamka sana nililuwa naizarau lakini kuanzia sasa nitakuwa nakunywa kila wiki mara moja
  2. M

    Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Jamani Hawa IS si watu wazuri Kuna jamaa anatengeneza maboti pale Slipway boat yard mwarabu wa Mombasa naskia nae ni member inabidi achunguzwe maana siku chache zilizopita ulizuka moto Slipway
  3. M

    Zifahamu siri za maisha

    Madini ya nguvu
  4. M

    Kwako Barbara Gonzalez; Mwijaku hatufai kuwa Muhamasishaji

    Kwa ufupi nimesikitika sana baada ya kusikia Mwijaku kuwa muhamasishaji, simba ni next level sasa tunaanza kurudi kwenye level ya utopolo yaani tunarudi nyuma badala ya kumove on, kuna uazima gani wakuwa na wahamasishaji ? Huu ni uswahili bana tutoleeni takataka zenu
  5. M

    TBT: Unakumbuka nini enzi ya Ngorika ikitamba?

    Ngorika imebadilishwa jina siku hizi zinaitwa Kapricon watoto wa mzee Mberesero
  6. M

    NSSF mmetunyoosha

    Mfano mi nimeanza kazi na miaka 20 Nimeanza kuchangia nikiwa na miaka 20 mwaka 2003 nimeshachangia michango zaidi ya 180 sawa na zaidi ya miaka 15 nimeachiahwa kazi. Je naruhusiwa Luigi's kwenye pensheni au kupewa changu chote maana umri wangu kwa sasa ni miaka 38 na nimeanza kuchangia tangu...
  7. M

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Bei 50,000/= malipo utachagua mwenyewe Mwezi,miezi mitatu au sita
  8. M

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Nina chumba kimoja Choo cha public Kina wafaa mabachela Kikubwa Location Kimara Suka Dakika 5 toka barabara ya morogoro Nicheki 0762364074
  9. M

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Naitaji nyumba goba bajeti yangu lakimoja Kwa mwezi nalipia Mwaka ntapata
  10. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Nipo dar mkuu Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
  11. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Bado natafuta vitoto Vya nguruwe ndugu zangu. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
  12. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Wakuu nimejengaa banda tayari nataka nianze na vitoto mwenye navyo anipe bei kwa kila kimoja mi nipo dar
  13. M

    Nahitaji ardhi heka 5

    Nipe mawasiliano mkuu ?
  14. M

    Nahitaji ardhi heka 5

    Kitanga ndo mkoa gani mkuu ?
  15. M

    Nahitaji ardhi heka 5

    Atleast iwe na utambulisho mkuu !
  16. M

    Nahitaji ardhi heka 5

    Maeneo gani mkuu ?
  17. M

    Nahitaji ardhi heka 5

    Naitaji aridhi heka 5 Iwe dar,au mkoa wa jirani na dar Iwe imepimwa Budget yangu ni 10m. Kwa mawasiliano zaidi nicheki inbox Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
  18. M

    House for rent at Masaki

    Full furnished, Standby generator Big sitting room 3 bed rooms Near agha Khan masaki Usd 5000 +255787688433 Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
  19. M

    Suzuki Swift Inauzwa

    Ukiifika 3.5 nijulishe inbox
  20. M

    NSSF Mlimani City: Kwanini hamrekekebishi michango ya wanachama baada ya nyie kukosea kujaza

    Nenda kawashitaki SSRA tumia email hii info@ssra.co.tz Utatatuliwa tatizo lako ndani ya siku 7
Back
Top Bottom