Search results

  1. Kishaju

    Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Pfizer Vaccine Shows Amazing Results in Israel https://greekreporter.com/2021/02/15/pfizer-vaccine-shows-amazing...
  2. Kishaju

    Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Thank you...vaccine works
  3. Kishaju

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Kuna kazi kubwa sana kwenye swala la kutumia vipimo kama ushahidi na hapo inabidi mahabara ya mkemia mkuu wa serikali iwe tayari kuonyesha mlolongo wanaotumia kujihakukishia ni dawa ya aina gani anatumia na je hakuwa anatumia dawa zingine au miti shamba inayoweza kuwa na chembechembe zinazoweza...
  4. Kishaju

    Greenhouse

    Bila shaka watajitokeza wahusika Inabidi uwe makini na matapeli wakati wa kutafuta mtu wa kukujengea green house 1. Hakikisha unaenda kuona sehemu ambapo huyo mtu amejenga green house na inabidi umuone mmiliki wa hiyo greenhouse ili uweze kujiridhisha. 2. Hakikisha unaijua ofisi ya huyo...
  5. Kishaju

    Askofu Gwajima: Makonda ni kombora ambalo halijaelekezwa pa kutua, linaweza kutua sehemu yoyote!

    Janani ki ukweli kasema 70,000 na akasema kila mtu akichangia 1000 inakuwa 70,000,000 na wakitoa 10,000 ni 700,000,000....alikuwa anatoa mfano tu..
  6. Kishaju

    Nini kitatokea endapo itabainika Manji ni mtumia Dawa za Kulevya?

    FALSE NEGATIVE RESULTS OF COCAINE TESTS There are times when false negative results are received. There are many reasons why this would happen. Too much intake of water and the utilization of detox kits are some of the reasons. FALSE POSITIVE RESULTS OF COCAINE TESTS It has been reported that...
  7. Kishaju

    Paul Makonda anajua maana ya Presumption of Innocence na Habeas Corpus?

    Tanzania No person charged with a criminal offence shall be treated as guilty of the offence until proved guilty of that offence (art. 13(6)(b) Constitution) African Charter on Human and People’s Right Article 7(b) provides that “The right to be presumed innocent until proved guilty by a...
  8. Kishaju

    Kama Idd Azzan alihojiwa na kuachiwa basi hii vita inazua maswali mengi

    Alishafanya haya 1. Kuorozesha wakazi wote kwenye mitaa. 2. Kukamata watu watakaokutwa guest. 3. Vijana.wasio na kazi wakamatwe 4. Shisha kupigwa marufuku 5. MASHOGA hawaruhusiwi Dar 6. Kampeini ya dar mpya na kamatakamata ya wenyeviti wa serikali za mtaa na kuwasaka malaya kwenye madangulo...
  9. Kishaju

    Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Ndugu zangu kusema ukweli jengo ka kipindi hiki ambalo inabidi waishi wanafunzi kwa milioni 500 ninawasiwasi sana. Maana tuchukuliwe mtu anayejenga nyumba ndogo ya ghorofa moja yenye vyumba kama vinne anaweza kweli kuimaliza kwa milioni 100? Ujenzi wa majengo makubwa umebadili sana hasa...
  10. Kishaju

    Uhuru was drunk

    What is wrong sioni kama kuna tatizo lolote...just focus on subject matter....
  11. Kishaju

    Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

    Siyo kweli ndugu yangu amechaguliwa mara ya kwanza 2013. Na katiba ilibadilishwa wakati wa kibaki na haisemi muhura mmoja hivyo anazo sifa za kugombea tena 2017.
  12. Kishaju

    Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

    Nd Nadhani hamjaelewa kwa nini uhuru alisema hivyo...wakati wa hotuba za walio wengi hasa laila na wenzao walikuwa wanamshabulia sana uhuru sasa lowasa alipopewa nafasi ya kuongea akamwambia uhuru naona mheshimiwa umekalia kitu ch moto. Hii lowasa aliisema kutokan na jinsi kina laila...
  13. Kishaju

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    una uhakika kweli na unachokisema...tuwe tunafanya uchambuzi wa kina kuliko kufikiria kwa wepesi namna hii...kwani nini tusijadiliane mustakabari wa nchi yetu...nini kifanyike na kwa nini nguvu kubwa ya dola inatumika wakati huu ukilinganisha na miaka iliyopita??
  14. Kishaju

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    mimi sioni kama kuna tatizo jamani kumbukeni yaliyotokea kenya mwaka 2007/2008...tena rafiki wa mkuu wetu ndo alihamasisha watu waingie mtaani. Matayarisho na nguvu ambazo zimetumika kungetokea umwagaji mkubwa wa damu. Japo mnawabeza ila mimi naona wamefanya jambo la maana kuhairisha hayo...
  15. Kishaju

    Taarifa kwa umma: Matumizi mabaya ya madaraka ya Mrisho Gambo, Arusha

    Hivi alilipa shilingi ngapi kukinunua chama...maana wengine hatujapata kujua ilikuwaje. Vipi na malipo yalifanyikaje
  16. Kishaju

    Barmedi kanipenda, kutokana na kazi yake naona aibu kuwa naye. Nifanyaje?

    Wewe hapo msaidie basi kama dada yako...ni ngumu sana kwa sasa kupata msichana anayejiheshimu kiasi hicho.
  17. Kishaju

    Barmedi kanipenda, kutokana na kazi yake naona aibu kuwa naye. Nifanyaje?

    Hata mimi nakumbuka miaka mingi kidogo imepita kuna mmoja nilikuta naye na alikuwa anajiheshimu sana kwa kweli... Kitu muhimu ni kwamba kazi ni kazi tu ila bahati mbaya mara nyingi watu wengi tumetokea kiwadharau wafanyakazi wa Bar sijui kwa nini. Kwanza kama huyo unakuta hana hata makundi ya...
Back
Top Bottom