Search results

  1. L

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Nitafuatilia kesi za wehu nami niwehuke? Kumbe na ma padri mnaamini nguvu za Giza, hii ni hatari.
  2. L

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Jipya nililoona ni kwa Chadomo kusababisha watu kupoteza maisha kwa ujinga Kama ilivyotokea jana Morogoro, Hivi ile kesi ya Mnyika ya kusababisha mauaji Kule kwa Nchemba inaendelea vipi? Mpori naye anachekesha sana kapigwa mjengoni eti kisasi unamfuata MTU kwake si ndio balaa sasa.
  3. L

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Umekosea precise pangolin wamenidokeza watamsimamisha Yule Padri mzinzi WA kile chama cha Kanda ile ya kaskazini.
  4. L

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Safi sana ADC kazeni buti tuko nyuma yenu, hawa wengine wao sera zao za kuchombeza watu wakapigwe risasi za moto tu wao kimya.
  5. L

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Jina ulilotumia tu linaonyesha wewe ni WA mrengo upi! Eti Dalai Lama yaaaagh!
  6. L

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Aaah! Watu wengine mnachefua, eti kuongeza idadi ya vyama......watu hata hawajaanda mshikemshike ushahukumu acheni hizo chadomo! Kama mnaziamini Hofu ya nini?
  7. L

    Hamad Rashid ataka Maalim Seif afungwe

    Hahaha afungwe jela akanyolewe ndevu zake ili ajue Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Yani Makamu WA Raisi anadharau Amri ya Mahakama! Huyu ni jela tu! Hahahaaaa.
  8. L

    Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

    Maumivuuuuuuuuu!!
  9. L

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Kopi kutoka wapi? Chadomo? Kuna nini cha kukopi huko? Kwanini hamjiamini, au mnaogopa kitumbua kinaelekea kutiwa mchanga?
  10. L

    ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

    Na Chadema njaa, CUF njaa, CCM njaa, NCCR njaa, TLP njaa, DP njaa, UDP njaa, TPP Maendeleo njaa, NRA njaa, NA Uchu wa Madaraka.
  11. L

    ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

    Basi chadema ni CCM 'K'. Woga tu umewajaa.....kwanza mnanuka Rushwa na chanzo cha habari ni Joseph Selasini.
  12. L

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Hili suala la Bendera Mbona Chadema mmelikomalia hivyo? Kwani kufanana rangi inawapunguzia nini au mnawaogopa hawa ADC? La Msingi hapa ni Kama wamejipanga kweli kwa ajili ya mageuzi NCHINI na sio vibaraka. hongera zenu ADC kwa hatua mliyofikia.
  13. L

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Mtamudu VIPi kumgundua kiongozi Kama ametangaza Mali zake zote kihalali/kweli? (kwenye blue)? Namba moja (kwenye red) nimeipenda hii au ndio Yale ya Maalim Seif na CUF yake? (usultani) Je?ni kweli wengi mlioanzisha ADC ni wale mliofukuzwa CUF hivyo mnachuki iliyopelekea mfanyie kazi mapungufu...
  14. L

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Huu Ni mwanzo MZURI (kwenye blue), nafasi za upendeleo kwa KINA mama na walemavu, japo walemavu mmeweka asilimia Ndogo lakini sio ishu, Sasa Je inakuwaje Kama hawatojitokeza kugombea nafasi husika? Ie: wanawake na walemavu, nafasi zao zinajazwaje?
  15. L

    AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

    ag anastahili kuombewwa. ccm fanyeni kazi yenu maombi
  16. L

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zito si ndio timu moja na shibuda eeH!! Basi Zito ni bora kuliko Kadinali oooh sore Kuliko Padri Dokta Wilbrod Slaa. Hivi kweli Mbowe atauchuna tu nafasi hii ya maujiko? Si na yeye atataka kugombea huyu?
  17. L

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Tunahitaji kujua Katiba yenu inasemaje! Ili tujue Kama kweli ninyi ndio wakombozi.
  18. L

    Kujadili urais miaka mitatu kabla ya uchaguzi ni dalili za kuchoshwa na rais aliyepo...

    Tutamkumbuka JK coz aliyofanya ni mengi na hakuna presidenti yeyote NCHINI waliomtangulia akathubutu kufanya hao.......hv sasa tunajadili Katiba mpya.....vp baba Ben alihubutu hil? Mzee ruksa Je? Baba WA TAIFA ndio alikua mtemi haswaaaaaaa! Jaribu kumfanyia ndivyo siyo uone mziki...
  19. L

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Hahaaaa! Wewe kweli umefilisika kimawazo, Ni nani aliyekwambia kwamba bila ya viongozi hao unaowaita Wazoefu chama hakiwezi kusonga mbele? Hivi ni nani asiyefahamu kuwa CUF ni wasaidizi WA CCM? CDM iko Tayari kupoteza Uhai WA waTanzania kwa maslahi yao Binafsi, kwani migogoro yooooote, wao...
Back
Top Bottom