Search results

  1. Collins

    Mwenyekiti BAVICHA Kinondoni na wizi wa mitihani.

    acha umbea au unatafuta bwana JF
  2. Collins

    Hivi hakuna uwezekano wa kusimamisha safari za rais?

    Hizi safari za rais zimezidi sana,hakuna uwezekano hizi safari zichunguzwe au kuundiwa kamati/tume ili kujua imeleta manufaa gani kwa taifa,au hakuna mamlaka inayoweza kufanya uchunguzi wa hizi safari au hata kustopishwa kwanza.
  3. Collins

    MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

    Traitor............so sad.
  4. Collins

    Ole wako Mkoba

    Mkuu mbona utabiri wako unatimia
  5. Collins

    Picha ya Le-Mutuz na watoto wa vigogo na mastaa wa kibongo, chezea nini wewe

    hii picha ya wadada huyu wa kulia ana undugu na Mpoki nini
  6. Collins

    Jei Efu Bana..

    swtyto tupo wangapi
  7. Collins

    Unataka mke mwema na mzuri (choose from this category)

    labda utuambie kuna tofauti gani kati ya wanawake wa machame,rombo na marangu
  8. Collins

    Jei Efu Bana..

    napata wivu
  9. Collins

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    mbona serikali inakoma
  10. Collins

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    ZZK lazima kuna kitu,hata kama ikionekana ni shutma zisizo na ushahidi but sema kweli atakuwa kateleza
  11. Collins

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    nia ya serikali ni kuipoteza hii ishu ya ulimboka na isisikike,kwahiyo isingewezekana uchunguzi huru uendelee
  12. Collins

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Hii ndo anguko la chama tawala,waalimu ndo walikuwa mtaji wao
  13. Collins

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    atakuwa kasoma alama za nyakati,mfano we angalia tamko la kutaka urais ilitangulia halafu hizi kashfa ndo zinakuja,kwanini kashfa za rushwa hazijatangulia halafu ndo tamko la kutaka urais lifuatie?na ninakwambia kwa upande wa chama huu ndo mwanya pekee kutumia,ukishindikana hakuna njia nyingine...
  14. Collins

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    hakuna mtu maarufu zaidi ya chama......zitto si lolote ndani ya cdm
  15. Collins

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    cdm haina utaratibu wa kuunda unda tume kama ccm
  16. Collins

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    inawezekana jamaa hili swala lake la urais aliichomekea ili ikija hii kashfa isiwe na mashiko
  17. Collins

    Majiji 25 machafu ulimwenguni

    Why Moscow ipo kwenye list?
  18. Collins

    Nyerere amtetea Zitto Kabwe.

    umetafsiri vibaya mawazo ya baba wa taifa
Back
Top Bottom