Search results

  1. T

    Mavazi ya kubana - Athari kwa wanawake

    Habari wakuu! Kama medical student napata taabu kidogo kukubaliana na huyu mtafiti kwa sababu hakuleta scientific data kutetea hoja yake,lakini pia ninavyojua mtafiti sometimes huwa anatafuta lugha nyepesi ya kufahamisha umma ule utafiti wake,ukizingatia kuwa watz wengi tuna ufinyu wa elimu...
  2. T

    Tetemeko la ardhi huko CHINA.....

    Habari zenu Latest kutoka ChengDu by kijana wa kitanzania ni kwamba hali si shwari,maeneo ya chuoni kwao tetemeko lime hit na kuua watatu ambao haijafahamika kuwa ni wanafunzi ama la,hakutoa taarifa ya kufa kwa foreigner yoyote,upatikanaji wa taarifa kwao ni mgumu kutokana na kutokuwepo kwa...
  3. T

    Ubalozi China wagomea Risala kwa Kikwete

    Ahsante saana HuXiang na wachangiaji wotee Kwanza kabisa nikuwa nawaomba wakuu HuXiang na wengine munapotumia hayo maneno ya kichina munafanya baadhi wasielewe mwakusudia nini,nimejaribu kutafsiri haya machache ila mkiweka mengine ni vema kuyatafsiri. 1.mian tiao=nodles 2.du lo jie=duo lo...
  4. T

    Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

    ...hebu tusaidia mkuu, baada ya kukushinda ulipata alternative gani???? thanx in advance
  5. T

    Customs (TRA) inavyohujumu waagizao magari ya Japan

    ahsanteni sana wandugu kwa hizi useful posts; huwa si mchangiaji sana wa threads humu ndani kwa sababu ya kukerwa na hali halisi ya tabaka la juu la watanzania(viongozi na matajiri)dhidi ya tabaka la chini la watanzania. ,duni,walipa kodi....n.k maanake mtanzania huyu duni hana pa kuhemea...
  6. T

    Rais Magufuli, Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) haitumiki vizuri

    Pale mzumbe nilikopata elimu yangu ya secondary form 1~6 ni shule ya mchepuo wa kilimo kwa o'level,walimu wengi kama siyo wote wa kilimo pale wamesoma sua,kupitia kwao nilikubali kuwa sua wanatoa real practical oriented degrees,maana walitusaidia kuwa tunajipatia matunda na mbogamboga kutoka ktk...
  7. T

    'I don't hate Muslims. I hate Islam,'

    -HIVI HII NDIO JAMII INAYOJIITA KUWA NI KIOO CHA USTAARABU DUNIANI??,MAANAKE TWAAMBIWA CIVILIZATION MEANS WESTERNAZATION,HII HOMESEXUALISM HATA NATURE INA ANTIGONISE,NA NIJUAVYO MIMI CHRISTIANITY INAKATAZA...I'M I RIGHT???? - SIYO WAISLAAM TU(MAANA KUCHUKIA QURAN MEANS KUWACHUKIA WAISLAAM)...
  8. T

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    Na Kizitto Noya UMOJA wa Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), kwa kushirikiano na taasisi mbalimbali za kijamii na za Kutetea Haki za Binadamu, umepinga ziara ya Rais George Bush wa Marekani aliyewasili jana nchini. Umoja huo ulieleza kutoridhika kwake na ziara ya rais huyo...
  9. T

    UJIO WA BUSH:tutie maji nywele zetu

    by Harumi Ozawa Thu Feb 14, 1:20 AM ET(FROM YAHOO NEWS) NAHA, Japan (AFP) - Japan's southern island of Okinawa on Thursday demanded the US military rein in the thousands of troops stationed there after a US Marine was arrested for allegedly raping a girl. The prefectural assembly of...
  10. T

    Japan's Okinawa demands US reins in troops after alleged rape

    by Harumi Ozawa Thu Feb 14, 1:20 AM ET(FROM YAHOO NEWS) NAHA, Japan (AFP) - Japan's southern island of Okinawa on Thursday demanded the US military rein in the thousands of troops stationed there after a US Marine was arrested for allegedly raping a girl. The prefectural assembly...
  11. T

    Japan's Okinawa demands US reins in troops after alleged rape

    by Harumi Ozawa Thu Feb 14, 1:20 AM ET NAHA, Japan (AFP) - Japan's southern island of Okinawa on Thursday demanded the US military rein in the thousands of troops stationed there after a US Marine was arrested for allegedly raping a girl. The prefectural assembly of Okinawa...
Back
Top Bottom