Search results

  1. T

    Katiba mpya ya Tanzania vs ya Kenya

    This is what I had in mind nilidhani kuwa ya kwetu ingeenda mbali zaidi lakini inaonekana matakwa ya watu milioni 45 yamedharauliwa na sote tumefanywa kama watoto wadogo
  2. T

    Katiba mpya ya Tanzania vs ya Kenya

    hiyo hapo juu itazame
  3. T

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Lakini Nyerere na Karume sio mihimili ya taifa hili. walikuwa ni personalities na washakufa na hatuwezi kuendelea kuongozwa na wafu tuna katiba na mihimili ya taifa na kama zanzibar wanataka kuondoka wapewe nafasi ya kufanya referendum waamue hatma yao kuna ubaya gani hapo?
  4. T

    Katiba mpya ya Tanzania vs ya Kenya

    Tayari ipo hapo juu....
  5. T

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Sasa hii ya kuwa na wabunge kwa sababu ya jinsia ni waste of money na ilitakiwa kila mbunge aingie based on merit Imagine mama LWAKATARE anavyo tu cost sisi wananchi huu ni wendawazimu na ujinga ambao ilitakiwa uondolewe.
  6. T

    Katiba mpya ya Tanzania vs ya Kenya

    Ipi iko more progressive kati ya hizi mbili? naamini wataalam washafanya comparative analysis hebu tupeni majibu . KATIBA YA KENYA HII HAPA: http://www.constitutionnet.org/files/Kielelezo_Pantanifu_cha_Katiba_ya_Kenya.pdf RASIMU YA TANZANIA HIII HAPA...
  7. T

    CAG kaficha ripoti za TANESCO na NHC?

    hakuna kitu...
  8. T

    Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    Go to 9m50s for the start of the major reasons of why you should never eat GMO. It won't kill you but you might wish it did. Oh and at 49m 55s it starts getting really spicy regarding infertility.
  9. T

    Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    Go to 9m50s for the start of the major reasons of why you should never eat GMO. It won't kill you but you might wish it did. Oh and at 49m 55s it starts getting really spicy regarding infertility.
  10. T

    Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    Kenya Bans GMO Food Imporatation GMOs banned as cancer fears grow - News - nation.co.ke The government has banned the importation of genetically modified foods with immediate effect. (Yeah!) Consequently, Public Health and Sanitation minister Beth Mugo ordered public health officials to mop...
  11. T

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Ngoma ikivuma sana hupasuka; walisema wahenga; Nehemia Kyando Mchechu ni bogus; na kuanguka kwa jengo hilo Indira gandhi street is an eye opener; shughuli za NHC zichunguzwe kwa undani kabisa, Majengo mengi mapya mapya ya NHC viwango vya vya ujenzi na usimamizi leave a lot to be desired...
  12. T

    Tunavyosutwa na Prof KEN EDWARDS

    hii ndio bongo watu hawana habari hata kidogo kila mmoja na lwake
  13. T

    Nyerere alivyoiua timu ya PanAfrican

    MATOKEO YAKE WA g NDIO WAMEKAMATA UONGOZI WA MIPIRA TZ
  14. T

    Tuhuma nzito za ufisadi dhidi ya Mwakyembe pale ATC

    Hali halisi ilivyo mwanza INTERNATIONAL airport ni hiii: MICHUZI: Taswira za uwanja wa ndege wa mwanza
  15. T

    Mh Membe unajua kama Balozi zetu nje hazijulikani?

    hizi ni chuki binafsi dhidi ya membe
Back
Top Bottom